Sio tu wadangaji mpenzi tu mwenye hela sio wa kukubali kuachika kirahisi serious, maumivu yake unajiona umefukuzwa kazi, sipo tayari kwa hilo atapata tabu sana kuniachaHahaha nimekuelewa. wale wadada wadangaji ukimuacha anakuganda kama kupe. Maana hanajua hana sponsor mwingine ukimuacha mjini atakufa.
Siku nyingine ujifunze kuto-disclose moyo na hisia kiasi hicho mkuu kila mmoja hapa duniani ana malengo yake huwezi jua mwenzio kwenye malengo yake anawaza nini na amejipangaje kuyatekeleza!kwa hali yangu ya sasa sio mbaya naona taratibu maumivu yanayanapungua
HeheWanaume wa mkoani kwa kulilia penzi mpo vzr sn.
Kuachwa kokote ni kubaya ww nenda katafute mwanamke mwingine uendelee na maisha
Lakini hilo halikwepeki mkuu ukiwa katika hali ngumu sijui kama wengine wanawezaKosa ni kumpenda yeye sana kuliko ww binafsi.
hakuna kuremba, leo usingekuwa unamuwaza mkuu
Kunywa soda mkuuMkuu wala usiendekeze upuuzi wa kumpa mwanamke hata mia yako.
Mimi nimewahi kukumbwa na kadhia kama hiyo, kila siku mizinga mara sijala mara nauli mara sikukuu n.k.. Mwisho wa siku ukimtumia kiasi alichoomba anakuuliza "mbona hujatuma na yakutolea?"
Nimekuja ku realize kuwa ni upumbavu mkubwa tunafanya sisi wanaume. Kuliko umtumie shilingi 50,000/- mwanamke asiekuwa na shukrani wala upendo wowote, ni heri utoe hapo 20,000/- utume kwa wazee wako wanunue hata sukari na chumvi wakukumbuke katika maombi yao na upate kubarikiwa katika mishe zako. Hiyo iliyobaki 10,000/- toa sadaka masjid/kanisani. 20,000/- kula maisha..
Hapo utakuwa umejitendea haki mwenyewe, wazee wako umewathamini na watakuombea mafanikio na Mungu pia umemkumbuka. Sio kuwapa hela hawa viumbe zandiki.
ndo nilikuwa naliwaza tangia naandika uzi lakini sikuweza kutaja umri wangu sababu kuna vitu nategemea kuvifanya humuUna umri gani aiseee? kabla sijasema neno lolote kuhusu yaliyokusibu
Imeshaisha mkuu niongeze ya tatu?Kunywa soda mkuu
Ongeza mkuuImeshaisha mkuu niongeze ya tatu?
OKndo nilikuwa naliwaza tangia naandika uzi lakini sikuweza kutaja umri wangu sababu kuna vitu nategemea kuvifanya humu
post #10