Inauma sana kuachwa sababu hauna pesa

Inauma sana kuachwa sababu hauna pesa

Status
Not open for further replies.
The biggest problem is that nowdays most men think that love can be bought and giving lots of money to your patner assures someone that he is loved. On the other hand women have found out that guys can spend on them and they have deciced to date different guys without caring about their feelings. Whenever you find out it is your bussines. And if you stop spending on her or reduce the amount you used to give her you will be easily kicked away.
 
Usijinyime kwa ajili ya kumridhisha Mtu mwingine.

Angalia uwezo wako kwanza.

Umefanya kitendo kibaya sana kujinyima KULA yako kwa ajili ya kumridhisha Mtu ambae hana faida kwako, na badala yake anakutumia, au naweza sema yuko kimaslahi zaidi.

Usirudie tena kitendo kama hicho
 
Daah! haya mambo yanasikitisha sana. pole sana ndugu, jitahidi uponye maumivu ya moyo uendelee na maisha ukiwa na mtazamo ulioimarika zaidi.
 
Hapo njia ulitumia ndo shida. Ulikuwa unatumia pesa kumtuliza lakn sio maisha alisi. We ishi maisha yako kwan atakae vutiwa atakuja mwenywe na kama hela. Usitumie hela katika kila kitu. Mda mwingine mwambie hauna hela au muombe kama atakusaidia. Basi huyo yuko kwa ajili ya kujenga na sio kubomoa
 
Tafuta pesa fanya mambo yako usivipe kipaumbele hvyo viumbe
 
tafuta tu hela.
Utawakimbia mwenyewe.
Sio lazima uwe na hela kama bakhresa.
Ila uwe na uwezo hata wa kumuhonga elfu 50.
Itakusaidia.
Kiukweli mapenzi ya dhati Hakuna na ni magumu.
nawanamke akikupenda bila wewe kuwa na hela.jua atakunyanyasa Sana.
Maana anakuwa huru na hana cha kupoteza kwako.
 
Yaani ulishindwa hadi kula vizuri sababu ya kumpa demu pesa,,




Chunga sana usije ukarudia upumbavu huo.
 
Ni wiki kadhaa tangu mpenzi wangu aniache. Nilikuwa nimempenda kweli na nilimpata kipindi ambacho nilikuwa nimetoka kuachwa na mwanamke wangu aliyepita sababu kuu ikiwa ni pesa na kuniambia anataka watu wenye wadhifa.

Sasa baada ya kumpata huyu kutokana na hali yangu bado sijakaa vizuri lakini nikaapa huyu sitaki kumpoteza. Kwakweli nilijitahidi sana kumpa pesa ili kumuonesha love. Kila pesa aliyokuwa akiomba nilikuwa nikimpa ikafika time nikaona mizinga inakuwa inazidi hadi muda mwingine nikawa nashindwa kula mimi vizuri sababu ya mahitaji yake.

Sasa ameniacha na chanzo cha kuniacha ni pesa. Aliniomba nauli ya kurudia alikuwa mkoa mwingine kwa dada yake kusalimia nikamtumia 60 tena siku ya pili akaanza kuniomba tena 50 anasema ana shida nayo nikamwambia leo sina subiri siku nne nikutafutie nikaona kakasirika. Siku ya pili akanitumia SMS "sikutaki haunithamini".

Tangu hapo akatoa na line niliyomsajilia mimi mpaka leo hajapatikana tena nimebaki na maumivu tu makali sana nikimkumbuka sana. Kweli kupenda ni kitu kingine!
Pole xn huo mchezo hauhitaji hasira
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom