inatia simanzi: Conclusion by hon Lissu

Achana naye huyo jamaa 😂
 
Mungu alikuwa wapi wakati Lissu anakamatwa?

Mungu yuko wapi wakati Lissu analala kwenye vinyesi?

Hapo mlipo mnategemea huruma ya Samia!

Au Samia ndo mungu wenu?

Huyo Mungu yuko wapi kuwalinda watoto wa Gaza wanaouliwa na Israel kila siku?

Nyie watu ni wajinga, wapumbavu, majuha, mazuzu, na mazumbukuku msio na uwezo wa kufikiri na kuchanganua mambo kwa kutumia akili kwa sababu hamnazo!

You and your stupid ilk can FOH.
 
Hanyongwi mtu yeyote yule. Hiyo kitu ilfutwa zamani tu.
Hamna hiyo adhabu.
Atacheleweshwa tu asishiriki uchaguzi simpre
 
Je, huyo mropokaji unayemchukia aliropoka? au alitenda kosa LA uhaini? No prosecution without justice. Hivi kwenye siasa za vyama vingi Kuna mipaka ya kuongea?
 
hıvı wakatı anarıpoka ropoka hajuagı kuwa hata mungu apendı kwa kutumıa kınywa alıchopewa vıbaya, hata mungu naye hapendı mtu asıyekuwa na hekıma. unaweza je kusema no reform no electıon haıfanyı kwa kumwomba mungu wakatı huyo mungu ndıo anakupa hıyo pumzı ya kuongea alafu unamkejelı tena
 
Pumbavu zako.
Kipi cha uongo alikisema?
Tume ya uchaguzi imejaa wanaCCM, uteuzi wao ni batili, wasimamizi wa uchaguzi ni wa uongo uongo.
Taifa linapata faida gani kwa kuwa na uchaguzi mbovu?.
Huyu mzalendo anayesema kuwe na tume huru amekosea wapi?.
 
Aache kulialia nani alimtuma kupayukapayuka jukwaani, ana siasa za hovyo, kushawishi uchochezi, kuchochea chuki na ubaguzi, hajali ye kila mtu ni kumtukana, kumtweza, ni nani yeye mtu asiyeheshimu chochote, si sheria, si mamlaka iliyoko madarakani. Amejifunza siasa za hovyo kabisa, tena ashukuru hayuko Rwanda au Uganda. Asitafute huruma ya wananchi apambane na ujinga wake, hakuna anayemtetea anatumiwa na vibaraka wa kutaka kutuharibia nchi yetu
 
Hivi hawa majaji na mahakimu wa sasa wataacha Legacy ipi?, wanaiua taasisi ya mahakama taratibu unajua tatizo letu sisi watanzania ni ubinafsi tu, leo hii tuna mashirika na taasisi nyingi zilikufa hapa Tanzania kwa sababu ya watendaji wake kujiangalia wao wenyewe na sio kuongozwa na maono, ni ajabu chombo kama cha mahakama kwa sasa kuonekana hakiko huru kiasi cha kutoa maamuzi yasiyo kuwa na tija tena, siku si nyingi watu watajichukulia sheria mkononi. Bunge mahakama, takukuru na polisi hizi ndo taasisi mbovu kiutendaji kwa sasa kuliko taasisi yoyote.
 
We tuliza makalio mahakimu wanajua kazi yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…