Inasikitisha

Kwani Cameron amekosea?ajakosea,kila mwezi kuna siku ya kukutana Magay wa Tanzania pale breakpoint ya mjini karibu na billicanas.wanakuwaga wengi na wana facebook fan page.Ndio maana Uk na Usa wanataka watambuliwe kwani kuna wapwa na wadogo wa kina Cameroon wana mabwana na wachumba zao hapa east africa.
 
Basi tunakoelekea ni laana
 
Na mmarekani nae katishia kama cameroun,lakini cha ajabu ye sjaskia wakimtolea tamko kali kama ilivokuwa kwa bwa kameruni!
 
Ulianza anza vp ku-google neno gay mkuu? mbona mi hilo neno siwezi hata kulikumbuka achilia mbali kuliandika kwenye google search?

Ulikua unatafuta biashara gani?
 
Ulianza anza vp ku-google neno gay mkuu? mbona mi hilo neno siwezi hata kulikumbuka achilia mbali kuliandika kwenye google search?

Ulikua unatafuta biashara gani?

Kweli Bana, Jamaa akitupa ufafanuzi ndiyo tunaweza kusaidiana naye kusikitika...
 
Ulianza anza vp ku-google neno gay mkuu? mbona mi hilo neno siwezi hata kulikumbuka achilia mbali kuliandika kwenye google search?

Ulikua unatafuta biashara gani?
mkuu ni kawaida kutokea,mi nilikuwa nafuatilia forums za kibongo online
 
U don't have to explain urself. Curiosity ni sehemu ya intelligence! Nilishawahi ku-request friendship ya gay mmoja, na nikamuambia wazi I wanted to understand a few things abt gays. I understood quite a bit, hadi alipotaka nijiunge na support group yao dsm,nikamuambia siungi mkono na akanikasirikia na kuni-unfriend
mkuu ni kawaida kutokea,mi nilikuwa nafuatilia forums za kibongo online
 
Hivi vitu ni laazima vitokee maana ndo vinaashilia mwisho wa Dunia mbona hyo chamtoto vitakuja vioja kibao chamsingi unatakiwa kujitambua nafasi yako basi haina haja ya kuvishangaa na unaposhangaa it means haujajitambua upo kundi gani mpaksikua sasa hivi, ni vya kawaida kwa siku hizi mtafute Mungu wako akuongoe kutambua nyakati.
 
I can go that extrem kama nataka info.

kuna binti mmoja alikuwa anaenda kuuza K nchi fulani. Na akajua nilikuwa huko akaja kuniuliza soko likoje, nilipigwa na butwaa sana lakini nilijitahidi nisioneshe usoni. Nilisema nilichoweza sema ili nijue what and how they do it nilisema uongo mwingi, mwisho wa nilipata info nilizokuwa nataka kupata.

Duh, afu mfanyakazi wa ofisini na heshima zake ukimwona mke wa kuweka ndani kumbe muuza.
U don't have to explain urself. Curiosity ni sehemu ya intelligence! Nilishawahi ku-request friendship ya gay mmoja, na nikamuambia wazi I wanted to understand a few things abt gays. I understood quite a bit, hadi alipotaka nijiunge na support group yao dsm,nikamuambia siungi mkono na akanikasirikia na kuni-unfriend
 
Ndio maendeleo wenzetu wanayo yataka ... Kuna shori flani blondie la kitasha alikuwa mshkaji wangu kweli ... Kuna siku nikaropoka mbele yake kwamba i hate gays ... Alikasirika ... Urafiki ukaishia siku hiyo ... Aka ni unfriend Facebook Twitter... Akidai Mimi nina roho mbaya nachukia binaadamu wenzangu ...

Wazungu sometimes wapumbavu sana ...

Sent from my HTC Incredible S using Tapatalk
 
Back
Top Bottom