Inasikitisha

Imeandikwa "asiwepo mwanaume atakayelala na mwanamme kama alalavyo na mwanamke" lakini ni lazima mambo yaliyotabiriwa yatokee ili mwisho uje, maana yasipotokea mwisho hautakuja. Mimi nimechoka dunia hii ni bora tu watimize unabii ili YESU aje "unabii upo kwa mapenzi ya MUNGU lakini ole wake anayeutimiza".
 
Mimi naomba mnitoe ujinga, hivi kuwa gay ni uamuzi /kujitakia, maradhi au maumbile?
Ikiwa itatokea mtoto wako ana dalili za "u-guy", utamfanya nini? Utampiga ili awache? Asipowacha utamfukuza nyumbani? Utampeleka wa waganga/madaktari akatibiwe?

Nimewahi kuona guys tangu miaka mingi iliyopita, wengine niliwajua watu wazima, ; lakini kwa kuficha "sexual orientation yao" wameoa na wana watoto.

Tatizo la guys wa zamani na wa sasa, ni kuwa wale wa zamani wengi walikuwa wanajificha, hawakutoka makabatini kama sasa.

Sasahivi mambo mengi yanatiwa chumvi na hii globalization...wengine wanaiga..wengine wameharibiwa na ndugu zao au rafiki zao tangu udogoni..na wengine wanapata hizi tabia mashuleni especially boarding schools, watu mpaka wanakuwa na maukungu kibaao wanabeba porn magazines ili kuoneshana...na once mtu akikaanza haka tabia kakuwa na kihisia za kingono na mtu wa jinsia yake anajikuta anawajua wenzie kibao..
Wengine wameumbwa na uso wa haya so hawafanyi hadharani..lakini wale mashoga kama wa kinondoni-magomeni hawana habari yaani... ndo hao tunakutana nao kwenye ma-kitchen party full kukatika..

Ama mtoto wangu..nikishajua anageuzwa nadhan ntalia kilio cha ukunga kwanza uuuuuuuuuuuuwwwi! ila ntapeleka kwa daktari wa psychology afanyiwe counseling..sitamfukuza kwa kweli,maana hiyo sio dawa..mtoto akinyea kiganja utakata mkono kweli??!!
 
Waacheni wale bata bhana...kila mtu na hisia zake si mnaona Obama kawatengea baheti kabisa
 
Waacheni wale bata bhana...kila mtu na hisia zake si mnaona Obama kawatengea baheti kabisa
hata b hivo wapo wengi,baada ya mda utashtukia takwimu zikionyesha ni nusu ya wanaume wa kitanzania
 
Imeandikwa "asiwepo mwanaume atakayelala na mwanamme kama alalavyo na mwanamke" lakini ni lazima mambo yaliyotabiriwa yatokee ili mwisho uje, maana yasipotokea mwisho hautakuja. Mimi nimechoka dunia hii ni bora tu watimize unabii ili YESU aje "unabii upo kwa mapenzi ya MUNGU lakini ole wake anayeutimiza".
wanajua hayo mkuu sema tu upotofu wa makusudi
 
duh..uchunguzi mwingine utatuweka kwenye matatizo..!? haya ukakuta picha ya kaka yako hapo utafanyaje..?
 
Back
Top Bottom