Tanzania chini ya ccm kila kitu Kimekufa!!!hakuna kitu ccm wanaweza zaidi ya ufisadi
Hapana si kweli, viwanda na mashirika ya umma kunzishwa kwake ilikuwa ni uongozi mbovu Nyerere, unaanzisha kiwanda unampa mtu kukiendesha kiwanda hajawahi kuedesha kiwanda hana asili na kiwanda hana asili na mashirika, kwao njaa tupu, ashaum si matusi hata choo kajan kukionea alivyookuja Dar chuoni. Unafikiri kuna kitu kitafanyika hapo?
Alipkuja Mwinyi akasema hakuna tena kutoa ruzuku, haya diyo masali ya huo uozo wa Marehemu Nyerere.
CCM inaongozwa na watu na watu wa awali walikweka misingi mibovu, sasa ule ujamaa wa kuwa kila shirika ni la umma kila kiwanda ni cha umma hakuna tena, au hujamsikia Kikwete?
Hivyo vilivyobaki kuwepo mpaka leo ni maajabu.

Kwa hiyo hili ni shirika la tatu linakufa chini ya mikono ya Kikwete.
Air Tanzania
Railway
TTCL
MKUU kikwetu tunamlau bure lakin kumbuka mikataba yote mibovu MKAPA Ndio mhusika mkuu wa KILA ovu linalotokea na hii imegundulika pengine kutokana na transparent tulio nayo kwa sasa
Huyu anayeutaka Uraisi ambaye kitabu chake kimetoka juzi, ameshindwa kuifufua hii kampuni ambayo iko direct chini ya wizara yake ni utendaji upi sasa aliofanikiwa mpaka tumkabidhi nchi, wakati TTCL Shirika la kizalendo kashindwa kulifufua linakufa chini yake. Only in Tanzania where mtu anashindwa kabisa kiutendaji halafu anataka tumpromote mpaka Urais. Mafisadi wamefanikisha azma yao ya kuua shirika la kizalendo lilokuwa na mtandao nchi nzima na branch Ofisi karibia kila mkoa na ilikuwa inaajiri watanzania wengi. Inasikitisha sana!!
Source:Habari Leo
Hapana si kweli, viwanda na mashirika ya umma kunzishwa kwake ilikuwa ni uongozi mbovu Nyerere, unaanzisha kiwanda unampa mtu kukiendesha kiwanda hajawahi kuedesha kiwanda hana asili na kiwanda hana asili na mashirika, kwao njaa tupu, ashaum si matusi hata choo kajan kukionea alivyookuja Dar chuoni. Unafikiri kuna kitu kitafanyika hapo?
Alipkuja Mwinyi akasema hakuna tena kutoa ruzuku, haya diyo masali ya huo uozo wa Marehemu Nyerere.
CCM inaongozwa na watu na watu wa awali walikweka misingi mibovu, sasa ule ujamaa wa kuwa kila shirika ni la umma kila kiwanda ni cha umma hakuna tena, au hujamsikia Kikwete?
Hivyo vilivyobaki kuwepo mpaka leo ni maajabu.
TTCL ilikua na mali kibao majumba kama zile apartment za LAMADA wajanja wakajimilikisha kituo kipya cha simu2000 wajanja wakajimilikisha lile eneo nafkuri wafuatilie hasa nani aliingia mkataba huo m bovu na airtel mana kuna tetesi zilisikika hizo ela airtel wanazolipwa kama m bia na ttcl haziendi airtel zinaingia kwa wajanja.
Hiyo taarifa ina uongo ndani yake, kampuni ya Bharti Airtel ina miaka 5 tu Tanzania, sasa hiyo Bharti Airtel kushindwa kuwekeza kwa miaka 14 kumetokea wapi?
Hawa ma reporter wetu bogus sana. Ndiyo maana Mkapa aliwaponda wazi wazi.
Hivi hizi shule huwa wanaenda kusomea ujinga?
HII nayo ni ESCROW nyingine na zipo nyingi. Hebu wanajamvi fuatilieni huyu Omari Issa na uhusiano wake huko Sudan, kuna jambo zito litagungulika. Huenda hata Escrow ina maelezo ya kuunga unga, lakini hili la TTCL ni wizi wa mchana kweupe na wenye akili walijua mapema kwamba hii ni kashfa inakuja.
Hapana si kweli, viwanda na mashirika ya umma kunzishwa kwake ilikuwa ni uongozi mbovu Nyerere, unaanzisha kiwanda unampa mtu kukiendesha kiwanda hajawahi kuedesha kiwanda hana asili na kiwanda hana asili na mashirika, kwao njaa tupu, ashaum si matusi hata choo kajan kukionea alivyookuja Dar chuoni. Unafikiri kuna kitu kitafanyika hapo?
Alipkuja Mwinyi akasema hakuna tena kutoa ruzuku, haya diyo masali ya huo uozo wa Marehemu Nyerere.
CCM inaongozwa na watu na watu wa awali walikweka misingi mibovu, sasa ule ujamaa wa kuwa kila shirika ni la umma kila kiwanda ni cha umma hakuna tena, au hujamsikia Kikwete?
Hivyo vilivyobaki kuwepo mpaka leo ni maajabu.
Wale wahindi wajinga wale walipewa TRL na Mkapa? Miaka kumi Kikwete kashindwa kurekebisha kasoro ambazo kimsingi aliahidi kuzishughurikia mwaka 2005, au maana ya kupokezana kijiti ni nini?
Inamaana Kikwete ndo kaanza kutuaga kwa kumsukumia lawama Mkapa?
Najiulizaga sana inakuaje ma zuzu kama hawa wanapata access ya internet...sio fair. si haki kabisa watu wa sampuli hii kua na baadhi ya privileges.
Sasa TTCL ikifilisika na kuwastaafisha wafanyakazi wote si ndiyo unaongeza idadi ya panya road. Vijana wote ambao wazazi wao wanafanya kazi huko unawapeleka wapi kama siyo barabarani. Kama kuna mtu kasababisha na alaaniwe kwa nguvu zote.Huyu anayeutaka Uraisi ambaye kitabu chake kimetoka juzi, ameshindwa kuifufua hii kampuni ambayo iko direct chini ya wizara yake ni utendaji upi sasa aliofanikiwa mpaka tumkabidhi nchi, wakati TTCL Shirika la kizalendo kashindwa kulifufua linakufa chini yake. Only in Tanzania where mtu anashindwa kabisa kiutendaji halafu anataka tumpromote mpaka Urais. Mafisadi wamefanikisha azma yao ya kuua shirika la kizalendo lilokuwa na mtandao nchi nzima na branch Ofisi karibia kila mkoa na ilikuwa inaajiri watanzania wengi. Inasikitisha sana!!
Source:Habari Leo
Mi hili jidada naona bora hata lipotee nikilionaga huwa naskia kichefuchefu kutwa nzima kazi kutetea ujinga na mibaibui yake joto lote hili, imagine jinsi likikupitia karibu linavyonuka.
Hao magabachori walikuja kuvuna a.k.a kuchuma, halafu walikuwa wanashiriki kuhujumu Shirika la reli kwa kuiba mafuta kwenye Locomotive power! Walikuwa ni mabhahiri balaa, tuliwaona wakishindia mapera mabichi kule karakana-Tabora(CheyoA&B) Kiukweli Serikali nitakubaliana nao iwapo wakirudisha TRC, ATC wakishindwa warudishe The Arusha Decrelation
Survival of the fittest, TTCl imekufa mikononi mwake.Hana akili. period.January mdogo wangu usikimbilie mambo makubwa kabla. Hujaonyesha unachokiweza, ukiachana na tetesi kuwa ulifutiwa matokeo ya form four pale galanos kuna jambo la msingi sana unatakiwa ulijibu na kuliweka sawa na sisi tunatakiwa tukueleze.
Unakumbuka mwaka 2013 na 2014 ulikuwa unakutana na bodi ya ttcl na uongozi wake mara kwa mara? Sasa mlikuwa mnaongea nini? Maana yake wewe kiongozi hafifu kwa sababu pamoja na mbio zote na kukutana nao mara kwa mara ila kampuni imefilisika tena mbele ya mikono yako rais mtarajiwa.
Hivi kuna guarentee gani ya wewe kuachiwa nchi ili hali kikampuni kimoja umekiua ?