Inasikitisha sana: TTCL Yafilisika Rasmi

Inasikitisha sana: TTCL Yafilisika Rasmi

Hivi Mark Mwandosya ndiye aliyeiingiza TTCL kwenye matatizo baada ya mwanaye kupewa scholarship ya kusoma South Africa? Nakumbuka kusoma habari za namna hii kwenye gazeti la Rai Nguvu ya Hoja la kina Jenerali.
 
Acha kuropoka kwaiyo huduma ni hadi uione kwenye tv?kaulize internet.mnayotumia apo ofisini kwenu ni ya.nani....watu hampend vya kwenu cjui mpoje
 
Hiyo taarifa ina uongo ndani yake, kampuni ya Bharti Airtel ina miaka 5 tu Tanzania, sasa hiyo Bharti Airtel kushindwa kuwekeza kwa miaka 14 kumetokea wapi?

Hawa ma reporter wetu bogus sana. Ndiyo maana Mkapa aliwaponda wazi wazi.

Hivi hizi shule huwa wanaenda kusomea ujinga?

We nae.ndio walewale
 
Hii nchi ya kipumbavu sana Makampuni yote ya simu kuanzia TRITEL,MOBITEL zimekuja na kuwekeza hapa na kupitia miundo mbinu ya TTCL Leo wame endelea inakuwaje TTCL wafirisike wakati makampuni ya simu wanatengeneza MABILIONI na kuishia kuyagawa Kama Bahati na siku badala ya kuwatoza kodi inayostahili na kuokoa shirika la Umma.
 
hadi machozi yamenilenga ila
sikulaumu dadaangu najua hapo ndo pa kujipatia riziki!ila ukweli unaujua moyoni!

Nini nilichokukwaza au kilichokukwaza? hata ulie?

Rizki? mimi? wapi? umesahau kuwa mimi ni Muislam? Na hujuwi kuwa Waislaam tunaamini atoae rizki ni mmoja tu? na rizki zetu anatupa bila ya hesabu.
 
Hiyo taarifa ina uongo ndani yake, kampuni ya Bharti Airtel ina miaka 5 tu Tanzania, sasa hiyo Bharti Airtel kushindwa kuwekeza kwa miaka 14 kumetokea wapi?

Hawa ma reporter wetu bogus sana. Ndiyo maana Mkapa aliwaponda wazi wazi.

Hivi hizi shule huwa wanaenda kusomea ujinga?

Angalia usije ukawa wewe ndiye bogus na uliyekwenda shule kusomea ujinga. Unaelewa Bharti Airtel iliingiaje nchini? Celtel ilinunuliwa (acquired) na Zain na baadaye Zain kununuliwa (acquired) na Bharti Airel. Unaelewa ni nini kilichonunuliwa? Na hujasikia kuwa serikali iko kwenye mgogoro na Bharti Airtel kuhusu asilimia 35% za TTCL inazomiliki? Hukujiuliza ni kwanini serikali inahangaika na Airtel wakati aliyenunua hisa za TTCL alikuwa Celtel?

Kinachosikitisha ni kuwa nasikia wewe ni Waziri kabisa kwenye Serikali ya JK. Inasikitisha. Kwa mfano hapa lengo lako ni kuitetea serikali wakati ni dhahiri kuwa kuna mambo hayako sawasawa. Kisa? "Mimi ni CCM". Kuwa mwanachama wa CCM haina maana kuwa unawajibu wa kutetea wizi na maovu mengine.
 
Huyu anayeutaka Uraisi ambaye kitabu chake kimetoka juzi, ameshindwa kuifufua hii kampuni ambayo iko direct chini ya wizara yake ni utendaji upi sasa aliofanikiwa mpaka tumkabidhi nchi, wakati TTCL Shirika la kizalendo kashindwa kulifufua linakufa chini yake. Only in Tanzania where mtu anashindwa kabisa kiutendaji halafu anataka tumpromote mpaka Urais. Mafisadi wamefanikisha azma yao ya kuua shirika la kizalendo lilokuwa na mtandao nchi nzima na branch Ofisi karibia kila mkoa na ilikuwa inaajiri watanzania wengi. Inasikitisha sana!!

Source:Habari Leo

Ndugu yetu january MAKAMBA hebu jibu hili kwa umakini. Ila Tanzania ina kazi ya ziada kumpata Rais anayetufaa,
 
Last edited by a moderator:
Yule Juha aliyeaminisha watu kuwa Njia Kuu za Uchumi zikimilikiwa na wageni ndio tutaendelea ndio sababu ya yote haya. Sasa kamugisha amepewa mfupa ulioshinda mafisi sugu, wakati Omari issa na genge lake wakiendelea kutafuna mali za watanzania.

This was all pre-planned. TTCL was doomed the day CCM walipohalalisha Spika wa bunge kuwa na Mwenyekiti wa bodi Vodacom, na wanasiasa kumiliki hisa kampuni binafsi za mawasiliano.

Nchi imejaa washe*zi hawana haya wala soni.

Huyo dogo Januari kazi kukenua hovyo na kuota ndoto za alinacha kuwa raisi, sasa kama a handful of mafisadi wanamu-outsmart ataweza kudeal na nchi nzima iliyojaa mafisadi?

Asijitetee kuwa amekuwa waziri hivi karibuni. Ningempa credit kama angechukua maamuzi starting when he was appointed. TTCL was his best chance of proving his Leadership Ante and well., He scored a BiG fat F.
 
Said Mkumba akiwa mkurugenzi wa ttcl alikomaa sana serikali isiwauzie hisa zain mwishowe wakamua kwa kifo cha ghafla alifia pale Hindu Mandal hospital. rip mkumba. JK umefanya mengi nchi hii.
 
Hakuna Rais wa Tanzania ambae si mchapa kazi Tanzania hii, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote ni wachapa kazi.

Nyerere sifa yake mbaya alikuwa haambiliki na dikteta.

Mwinyi sifa yake mbaya alikuwa ni kikaragosi cha Nyerere.

Mkapa sifa zake mbaya alikuwa ni kikaragosi cha Nyerere na baada ya master wake kufa akaanza kuwa mwizi.

Kikwete Ma sha Allah, mchapa kazi hodari, amevunja-vunja misingi mibovu yote iliyowekwa na Nyerere sasa katuwekea misingi mipya ambayo tunaona kabisa nchi inaelekea pazuri, tushindwe wenyewe tu. Kikwete ni juu zaidi.
Hizo sifa za wasomi wa Nyerere aliowapa mashirika ya umma na viwanda vya umma wakaviuwa vyote.

Najiulizaga sana inakuaje ma zuzu kama hawa wanapata access ya internet...sio fair. si haki kabisa watu wa sampuli hii kua na baadhi ya privileges.
 
Imebaki historia.. Halafu mtu kanishindwa kusimamia kitu kdogo anataka urais

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Hakuna Rais wa Tanzania ambae si mchapa kazi Tanzania hii, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote ni wachapa kazi.

Nyerere sifa yake mbaya alikuwa haambiliki na dikteta.

Mwinyi sifa yake mbaya alikuwa ni kikaragosi cha Nyerere.

Mkapa sifa zake mbaya alikuwa ni kikaragosi cha Nyerere na baada ya master wake kufa akaanza kuwa mwizi.

Kikwete Ma sha Allah, mchapa kazi hodari, amevunja-vunja misingi mibovu yote iliyowekwa na Nyerere sasa katuwekea misingi mipya ambayo tunaona kabisa nchi inaelekea pazuri, tushindwe wenyewe tu. Kikwete ni juu zaidi.
Hizo sifa za wasomi wa Nyerere aliowapa mashirika ya umma na viwanda vya umma wakaviuwa vyote.

Ha ha haaa! huwa ni ngumu sana kuyaficha mahaba yako.
 
tanzania ni nchi pekee ambayo raia wake wanapenda kuua vya kwao na kutukuza vya wageni. Inasikitisha sana.
 
yule juha aliyeaminisha watu kuwa njia kuu za uchumi zikimilikiwa na wageni ndio tutaendelea ndio sababu ya yote haya. Sasa kamugisha amepewa mfupa ulioshinda mafisi sugu, wakati omari issa na genge lake wakiendelea kutafuna mali za watanzania.

This was all pre-planned. Ttcl was doomed the day ccm walipohalalisha spika wa bunge kuwa na mwenyekiti wa bodi vodacom, na wanasiasa kumiliki hisa kampuni binafsi za mawasiliano.

Nchi imejaa washe*zi hawana haya wala soni.

Huyo dogo januari kazi kukenua hovyo na kuota ndoto za alinacha kuwa raisi, sasa kama a handful of mafisadi wanamu-outsmart ataweza kudeal na nchi nzima iliyojaa mafisadi?

Asijitetee kuwa amekuwa waziri hivi karibuni. Ningempa credit kama angechukua maamuzi starting when he was appointed. Ttcl was his best chance of proving his leadership ante and well., he scored a big fat f.

as a matter of fact ndiyo kazi pekee aliyo nayo pale wizarani na imemshinda
 
Hakuna Rais wa Tanzania ambae si mchapa kazi Tanzania hii, Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete wote ni wachapa kazi.

Nyerere sifa yake mbaya alikuwa haambiliki na dikteta.

Mwinyi sifa yake mbaya alikuwa ni kikaragosi cha Nyerere.

Mkapa sifa zake mbaya alikuwa ni kikaragosi cha Nyerere na baada ya master wake kufa akaanza kuwa mwizi.

Kikwete Ma sha Allah, mchapa kazi hodari, amevunja-vunja misingi mibovu yote iliyowekwa na Nyerere sasa katuwekea misingi mipya ambayo tunaona kabisa nchi inaelekea pazuri, tushindwe wenyewe tu. Kikwete ni juu zaidi.
Hizo sifa za wasomi wa Nyerere aliowapa mashirika ya umma na viwanda vya umma wakaviuwa vyote.

Mi hili jidada naona bora hata lipotee nikilionaga huwa naskia kichefuchefu kutwa nzima kazi kutetea ujinga na mibaibui yake joto lote hili, imagine jinsi likikupitia karibu linavyonuka.
 
Nawaonea huruma viongozi wa nchi hii miaka ijayo watakavyokuwa wanahukumiwa nawenye nchi pale fahamu zao zitakaporudi.
 
ukiangalia wenye maamuzi wote ndani ya serikali hii wana mikono yao huko vkwene makampuni mengine ya simu hawawezi kubali TTCL iinuke sababu itaua biashara zao huko ndo mana maamuzi mengi yanakua magumu kufanyika
 
Nawafilisi tu serikali yenyewe imerara subiri iamke mpaka 2089 maana wizi wenyewe, wasimamizi wizi,wakusanya kodi wizi,wakaguzi wizi,wanao hukumu huko mahakamani matahira via wizi sana sana kesy itahukumiwa mtu atoe faini milion moja wakati kaiba bilion mia moja aaargh yanamwisho lkn.
 
Hiyo taarifa ina uongo ndani yake, kampuni ya Bharti Airtel ina miaka 5 tu Tanzania, sasa hiyo Bharti Airtel kushindwa kuwekeza kwa miaka 14 kumetokea wapi?

Hawa ma reporter wetu bogus sana. Ndiyo maana Mkapa aliwaponda wazi wazi.

Hivi hizi shule huwa wanaenda kusomea ujinga?

Acha upunguani wewe usipende kuchangia vitu usivyovijua utaumbuka....

Huwa nakukanya Sana mambo ya kitaalamu huyawezi we imba taarabu zako za kumsifia shemejiyo mwenye tezi dume....

Hiyo kampuni ya airtel imeinunua Zain ambayo nayo walinunua celtel international ambao nao walinunua Celtel Tz.....

So Bhahti Airtel walinunua kampuni pamoja na Mali zake ikiwemo hisa na madeni so Airtel Tanzania bado ni sehemu ya wamiliki Wa TTCL ndio maana wanadai PESA ya hisa sasa unakurupuka nini kuchangia ujinga??

Kwani PAP alivyolipwa madeni ya kuanzia 2006 alianza kazi 2006??

Kaa kimya kuliko kudhihirisha ujinga na upunguani wako na inaonekana uwezo wako Wa reasoning na thinking ni duni Sana Kama huyo shemeji yako....
 
Back
Top Bottom