Hapana si kweli, viwanda na mashirika ya umma kunzishwa kwake ilikuwa ni uongozi mbovu wa Nyerere, unaanzisha kiwanda unampa mtu kukiendesha kiwanda hajawahi kuedesha kiwanda hana asili na kiwanda hana asili na mashirika, kwao njaa tupu, ashaum si matusi hata choo kajan kukionea alivyookuja Dar chuoni. Unafikiri kuna kitu kitafanyika hapo?
Alipkuja Mwinyi akasema hakuna tena kutoa ruzuku, haya diyo masali ya huo uozo wa Marehemu Nyerere.
CCM inaongozwa na watu na watu wa awali waliweka misingi mibovu, sasa ule ujamaa wa kuwa kila shirika ni la umma kila kiwanda ni cha umma hakuna tena, au hujamsikia Kikwete?
Hivyo vilivyobaki kuwepo mpaka leo ni maajabu.
kwa maelezo yako haya nyerere pia alikuwa fisadi na mlimbikizaji Mali za umma kisirisiri?

