Keynez
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 2,397
- 3,884
- Thread starter
- #21
Si unaona akili zenu zilivyo za hovyo? Nashindwa nianzie wapi kukujibu ila haujanishangaza kwa ulichoandika. Tulishajua tunadeal na watu wa aina gani wanaoendesha hii nchi.Wewe badala uchape kazi unataka kushinda mitandaoni ufuatilie umbea wa akina Wema Sepetu na Bugati, tena serikali inakosea sana, kifurushi cha chini kabisa ilibidi kiwe 10k na unapewa MB 200 tu! Wanaotumia mitandao kufanya biashara pekee ndiyo wangesajiliwa na kupewa vifurushi vyao maalum vya bei nafuu