Inasemekana Juma Jux na mkewe wana mpango wa kufanya Adoption

Inasemekana Juma Jux na mkewe wana mpango wa kufanya Adoption

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
33,428
Reaction score
65,661
Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia inaonyesha kabisa na huyo aliyetuma picha hizo kwa group alisema wanafanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito

Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye ili jambo duh sherehe zote zile af mtoto una enda kuadopt
 
Hii imenipa maswali sana kwahy jux hawezi kabisa kubebesha mwanamke mimba kwa picha nilio iona ni kwamba mwanamke kavaa zile mimba bandia ina onyesha kabisa na uyo alie tuma picha izo kwa group alisema wana fanya adoption na sio kwamba mkewe ni mjamzito

Kwahiyo mwamba katuangusha sana kwenye ili jambo duh sherehe zote zile af mtoto una enda kuadopt
Amekuangusha, ulimpa mbegu?
Wanaume wagumba wapo na hili liko nje ya uwezo.

Sisi wenye mbegu na wenye uwezo kutungisha mimba sio kwa nguvu wala ujanja wetu bali tumshukuru Mungu
 
Back
Top Bottom