PreGE2025 Inasemekana G55 wanahamia CHAUMMA, kupewa nafasi za uongozi kukamiliasha 5% ya wagombea wa upinzani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
2,786
Reaction score
7,567
Wakuu,

Haya ndio yanayohuma huko kuwa G55 mpango wao ni kuhamia CHAUMA kwa madai ya kuwa waahidiwa majimbo 20 na pia wamekuwa wakizunguka kushawishi wengine kujiunga nao kwenda chauma kwa ahadi inayosemekana ya milioni 90 per kichwa. Nadhani tumeanza kuona viongozi mbalimbali kama wenyeviti kuhamia CCM hivi karibuni, vinahusiana - itakuwa! Na anahaidi hii inaenda mpaka kwenye viti maalum.

Mbali na hayo pia wamepewa magari kwaajili ya kwenda mikoani ili kuendeleza hamasa hizo. Na kama mmeona CHAUMA kimetangaza kuwa na kikao cha kamati kuu Mei 5, 2025, hii ni coincidence?

Leo G55 wanafanya press saa tano, ngoja tusubiri kama haya ni kweli ama lah!

g55 2.jpg
g55 1.jpg

Pia soma
 
Ngoja tuone
 
Kumbe kwenye siasa hakuna ile dhana kuwa Wananchi kwanza kumbe kinachowekwa mbele ni tumbo. Umaskini huu ni kitu kibaya sana.
 
CHADEMA inaondoa uchafu; inajisafisha.

Hawa wangeendelea kubaki ndani ya chama, hali ya chama hicho ingeendelea kuwa tete sana.

Lakini, kwa nini wameamua wakati huu kuondoka kwa hiari yao badala ya kuendelea kutumiwa na CCM wakiwa ndani kuivuruga CHADEMA?
1. Imekuwa saa mbaya, kuelekea Oktoba, huku wakiwa hawana uhakika na ushindi, au hata uwepo wa CCM; baada ya Oktoba (ndiyo, uwepo wa CCM upo mashakani).

2. Walisubiri Mbowe aseme jambo; awape mwelekeo, lakini jamaa kapiga kimya. Wamechanganyikiwa kwa ukimya huo.
Waliitegemea CCM iwafanyie kazi ya kuwarudishia chama, kwa kuwavuruga viongozi wapya wa CHADEMA kwa kuwaumiza na kuwazulia kesi mbovu; lakini matukio yote yaliyotokea hadi sasa, yanaiimarisha CHADEMA na kuiweka serikali ya Samia kwenye hatihati na waTanzania. Hili limewakatisha tamaa.

3.Nani kasikia lolote toka kwa COVID-19; ambao wanaelekea ukingoni mwa ubunge wao? Hawa G55 na COVID-55 ni kundi moja. Unapoona mambo yanakuwa hivi, elewa kwamba hata COVID-19 wamechanganyikiwa. Mategemeo ya kuomba msamaha ndani ya CHADEMA yanaondoka.

4. Liwalo na liwalo; hatma ya wote hawa, pamoja na Mbowe mwenyewe hawana shughuli tena ndani ya CHADEMA Mpya, jambo linalotia moyo sanakwa wote wanaokitakia mema chama hiki.

Wengi wa hawa wote wamekufa kisiasa.
 
Screenshot_2025-05-07-23-09-16-1.png
 
Hii ndio siri iliyofichuka kwa sasa

View attachment 3327298

Kabla ya kuona Aibu mipango ya kuhamia ccm ilishakamilika

View attachment 3327300

Ngoja tuone watahangaika hadi wapi.
Jengeni chama chenu. Hao sio wanachama wenzenu tena. Hata wakienda CCM kama alivyofanya Msigwa ni haki yao. Mpiganieni Mwenyekiti wenu atoke rumande ili awaongoze katika mkakati wenu wa NRNE. Kazi iliyoko mbele yenu ni kubwa, msipoteze nguvu na muda wenu kuwasimanga ambao sio wanachama wa chama chenu.

Amandla...
 
Sikujua kama Mrema ni fala kiasi hiki

Wanaume wapo vitani yeye anawaletea simple words anahaki ya kupingwa ngumi kwasababu hakuna utani kwenye mapambano ya Wanaume
 
Back
Top Bottom