Inaonekana anapitia wakati mgumu sana

Inaonekana anapitia wakati mgumu sana

Kuna namna sahihi ya kucheza siasa za Tanzania, lakini si kwa njia ya Gwajima.

SIasa za Tanzania hazihitaji mbwembwe. Hii nchi sio tajiri lakini walau ina dira.

Kuna namna kwa nini baada ya Nyerere Mwinyi alikuwa rais, akafatiwa na Mkapa, akafatiwa na Kikwete, akafatiwa na Magufuli, na sasa tu mtu anaitwa Samia.

Hawa watu wanatofautiana sana. Lakini, I think, ninaweza kupata theme.

Hii nchi inahitahi iongozwe na mtu ana akili, ana humility na ana moyo.

Ukimsoma tu Gwajima, huyu mtu hana akili, hana humility na hana moyo.

Its just quite perplexing kwamba ni kiongozi kwenye dini niipendayo sana, ninayoiamini sana, ya kiKristo, but no, Gwajima is not my guy.

Kila kiftu anasema kiko transparent, so obvious kwamba anatafuta dili lake. Mfano anavyosema wakuu wa vyombo vya usalama wanahitaji kulindwa maana yake nini? Yaani mkuu wa majeshi au wa Polisi alindwe? Aongezewe maslahi zaidi ya anayopewa sasa? HOW? WHY?

Ni upuuzi, ni kujigonga, mtu yeyote anaona what Gwajima is up to. Ni akili ndogo. Ni aina ya ukristo ambao watu wa nchi za kiafrika wa miaka ya hivi karibuni wamejikuta wakikumbana nayo. Ukristo maslahi ulio mbali sana Kristo mwenyewe.

Mi siyo fan wa CCM. But nitamkataa Samia kwa mambo mengine lakini sio kwa tuhuma za Gwajima. So far kwangu baada ya Magufuli Samia hajaharibu sana. Kuna namna ambavyo mambo ningependa yawe tofauti (mfano, kuna namna rushwa na uzemve umeongezeka serikalini) lakini so far mambo yanavumilika.
Ndo uemongea nini sasa maana umeishia kugonga meza tu
 
I beg to differ mi sio ccm,Sina chama
Ila Gwajima ni kichwa ukiacha mapungufu yake
 
Hzo gharama haziwezi kupunguzwa Kwan mkuu maana c analipwa mshahara akiwa kazini Kwa miaka hyo mitano na Kila kitu anatumia Bure mkuu 🤔🤔au inakuwaje mkuu
Ndiokunahitajika Reforms
 
Mimi nahitaji kujua mbunifu wake wa yale mabuga, nimshauri apunguze saizi.
 
Aisee Kiongozi wetu analaumiwa sana aisee ila sijui alipita wapi maana alivyobadilika ni taofuti na alivyokua mwanzo kabisaa kipindi kile hata mimi nilipiga makofi.
 
Hakuna anayebisha kuhusu hili. Isipokuwa nafasi yake tayar imetosha kwa vipindi ambavyo naye amekuwa sehemu ya kuchaguliwa.
Sawa mkuu lakini tunabidi tujiridhishe kwa kupitia Katiba inasema je kuhusu ili. Je,VP ni Rais? Jibu ni hapana
 
Samia kwa nafsi yake kabisa hatamani tena kuendelea kukalia hicho kiti tatizo amekubali kuwa manipulated na wapambe hadi kaingia kwenye kinyang'anyiro sasa kujitoa anaona aibu lakini kwa sasa maji yameshazidi unga.
Hakuna mwanasiasa maaarufu kwa sasa zaidi ya Samia,na Insha Allah tunae hadi 2030...!!!
 
Kwa nini isifanyike kama Marekaani walivyofanya? Mbona walimuweka pembeni Biden na bado wakaingia kwenye uchaguzi, hata kama hawakushinda ni kwa vile walikuwa na mshindani mwenye nguvu, huku kwetu wa kwetu tumewafungia ndani, sasa vivuli navyo vinaogopwa eti
 
Hili hitimisho lako limekuwa dhaifu mno. Halafu hoja ya Ukristo wako kwenye hoja za Gwajima umeingiaje?
Legitimacy yoyote aliyonayo Gwajima inayompa airtime hata kuitisha press conference inatokana na kwamba yeye ni kiongozi wa dini tena "askofu" kwenye dhehebu lake kwenye ukristo.

Anaposimama kwenye mimbari na kuanza kuwaita watu majina ya ajabu "ponjoro" na kuanza kuwakashfu viongozi wengine wa dini kama alivyomkashfu askofu Pengo wakati fulani huko nyuma sisi wakristo we don't feel kama anawakilisha taswira njema ya Kristo kwa umma wa watanzania.

Hivyo mimi kama mkristo nina haki kabisa ya kutumia maarifa yangu katika ukristo na kumwambia Gwajima, hapana, tunaweza kuona kwenye kioo kwamba hoja zako zina nia ovu, kwa namna ile ile Yesu aliweza kuwakataa na kuwagonga nyundo viongozi wa dini wa kiyahudi enzi zile kwa unafiki wao.
 
I beg to differ mi sio ccm,Sina chama
Ila Gwajima ni kichwa ukiacha mapungufu yake
Gwajima sio kichwa.

Ni vile tu anasema mambo unataka kusikia.

Lakini kwenye intelijensia ya watu haitoshi tu kujudge mtu kwa anayoyasema. Nenda deeper, tizama namna zake, si za leo tu bali hata za juzi na juzi kutwa.

Hoja yake kwamba makamanda wa vyombo vya ulinzi usalama walindwe inalenga kumfitinisha rais na vyombo vya ulinzi na usalama. Kwamba majeshi ndio wazalendo namba moja na si rais, again, ni kielelezo tosha kwamba huyu mtu akili yake ni ndogo.

Kwa mtu mwenye akili kubwa (na naweza kukwambia hii nchi ina watu wengi tu wana akili) kila sekta ina umuhimu wake, hata wale wahudumu wa ofisi wana sehemu katika kuonyesha uzalendo wao kwa nchi.

Sababu pekee Gwajima amekimbilia kwa majeshi ni vile anawaza kibinafsi sana, chuki yake kwa mama inapelekea awaze lolote dhidi yake ikiwemo uwezekano wa majeshi kumpindua mama. Kitu ambacho hakiwezekani sababu majeshi wamefundishwa ethics za kazi yao.

Tatizo la Gwajima ni kwamba career yake yote ameitumia kupitia mahubiri kutoka kwa mimbari kuwafanyia usanii waumini wake, basi anafikiri hiyo trick, ya kucheza na maneno, kuongea mambo ambayo kundi flani la watu wangependa kuyasikia, kwamba itafanya kazi hata kwa sekta ya siasa na serikali na hasa kwa mtu kama rais Samia.
 
So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia].

Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia.

Hakuna namna ingine ya kuweza kutafsiri alichokisema Gwajima 🤣.

Humphrey Polepole naye alizungumzia uongozi mbovu wa chama na serikali yake.

Huyo naye alikuwa anamsema Samia bila kumtaja moja kwa moja!

Ni wangapi huko CCM wenye hizo sentiments dhidi ya Samia lakini bado hawajawa na ujasiri wa kujitokeza na kusema hadharani hata kama hawatomtaja moja kwa moja huyo kiongozi wao?

It looks like something is brewing inside CCM….

What say you? Good thing or bad thing?
Anataoatapa ila na wewe inaonekana umeshaingia kwenye ulaji umeacha kuponda SSH 😂😂
 
Back
Top Bottom