Inaonekana anapitia wakati mgumu sana

Inaonekana anapitia wakati mgumu sana

Alijitakia mwenyewe
Kwanza hana uwezo wa kuwa raisi.
Pili muda wake umekwisha, alipaswa awapishe wengine ( huyu alikuwa VP ni sawa na kuwa raisi tu kwa miaka 5)
Raisi alipokufa akawa raisi. Sasa miaka 5 imekwisha kwa maana ya 10 anataka aendelee? Kwa sababu gani?? Yani atutawale kwa miaka 15???
Wala hakuna shida Kwa yeye kuendelea iwapo angefanya ya msingi kama kuruhusu mchakato wa Katiba na pia kufuata michakato ya uchaguzi bila kulazimisha apite bila ushindani...Hapo sasa si sawa na precedent itakayokuwa set kama itaachwa ilivyo ni dhahiri itakuwa mbaya Kwa mstakabali wa taifa...Why prevent others from their constitutional rights? JPM na akina Pole wake walifanya hivyo na Sasa wengine wameona Inawezekana...No it isn't good for the future of our generations...Tunaanza kuona spirit ya umimi (i.e opportunistic) bila kujali maslahi mapana ya nchi...Everybody should say no to this
 
So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia].

Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia.

Hakuna namna ingine ya kuweza kutafsiri alichokisema Gwajima 🤣.

Humphrey Polepole naye alizungumzia uongozi mbovu wa chama na serikali yake.

Huyo naye alikuwa anamsema Samia bila kumtaja moja kwa moja!

Ni wangapi huko CCM wenye hizo sentiments dhidi ya Samia lakini bado hawajawa na ujasiri wa kujitokeza na kusema hadharani hata kama hawatomtaja moja kwa moja huyo kiongozi wao?

It looks like something is brewing inside CCM….

What say you? Good thing or bad thing?
Watajuana wenyewe
 
Haya yote yatapita soon after uchaguzi
 
Rais yoyote ni mwanasiasa tu ,jeshi lipo ila wanasiasa watakuja na kuondoka , anakua mmoja wao tu pale akiapishwa kwa mjibu wa katiba na si vinginevyo, so amesema sahii wala hakuna kosa.

Litokeapo jambo lolote , katika mataifa mengi dunian ya misukosuko katika nchi , nchi uingia katika mikono ya jeshi sio mwana siasa yoyote yule, so ndo ujue , nchi ni jeshi bila jeshi hakuna nchi .
 
Alijitakia mwenyewe
Kwanza hana uwezo wa kuwa raisi.
Pili muda wake umekwisha, alipaswa awapishe wengine ( huyu alikuwa VP ni sawa na kuwa raisi tu kwa miaka 5)
Raisi alipokufa akawa raisi. Sasa miaka 5 imekwisha kwa maana ya 10 anataka aendelee? Kwa sababu gani?? Yani atutawale kwa miaka 15???
Hutaki hama nchi
 
Ni vile hatumuoni tu ila ni dhahiri kwa sasa analaani kila sekunde ipitayo maishani mwake.
Na yawezekana nyie ndio mnapitia wakati mgumu kwa kumwazia mtu ambaye hana ht muda na nyie
 
SAMIA NI AMIRI JESHI MKUU,NA OCTOBER INSHA ALLAH TUNATIKIIIII
Hii uko sawa ila ni mwanasiasa, na cheo hicho kinalindwa kwa mjibu wa sheria ,hakuna anaebisha, that's akiondoka hawezi pata zile heshima za sasa azipatazo kwa mjibu wa cheo chake cha sasa,
 
So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia].

Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia.

Hakuna namna ingine ya kuweza kutafsiri alichokisema Gwajima 🤣.

Humphrey Polepole naye alizungumzia uongozi mbovu wa chama na serikali yake.

Huyo naye alikuwa anamsema Samia bila kumtaja moja kwa moja!

Ni wangapi huko CCM wenye hizo sentiments dhidi ya Samia lakini bado hawajawa na ujasiri wa kujitokeza na kusema hadharani hata kama hawatomtaja moja kwa moja huyo kiongozi wao?

It looks like something is brewing inside CCM….

What say you? Good thing or bad thing?
ukichukua supu ya moto pamoja na nyama ukaziweka ndani ya thermos ujue nyama zinaendelea kuiva na kurojeka.

Ndio wana ccm wenye akili kidpgo na wako ndani ya mfumo wanaugulia ndani kwa ndani
 
Na yawezekana nyie ndio mnapitia wakati mgumu kwa kumwazia mtu ambaye hana ht muda na nyie
1752682859088.jpeg
 
So, he called a press conference just to take some veiled shots at her [Samia].

Hata kama hakumtaja moja kwa moja kwa jina lake, kitendo tu cha kusema ‘mzalendo namba moja nchini si Rais au mwanasiasa, bali ni mwanajeshi’, hapo alikuwa anamsema Rais Samia.

Hakuna namna ingine ya kuweza kutafsiri alichokisema Gwajima 🤣.

Humphrey Polepole naye alizungumzia uongozi mbovu wa chama na serikali yake.

Huyo naye alikuwa anamsema Samia bila kumtaja moja kwa moja!

Ni wangapi huko CCM wenye hizo sentiments dhidi ya Samia lakini bado hawajawa na ujasiri wa kujitokeza na kusema hadharani hata kama hawatomtaja moja kwa moja huyo kiongozi wao?

It looks like something is brewing inside CCM….

What say you? Good thing or bad thing?
Wacha wakomeshane..
Tabu zao ndo Raha yetu
 
Samia has got 99 problems. Gwajima. Is none of them
 
Kwani lazima agombee?
Walianza chadema makanisa sasa mmoja mmoja mmepangana vzr inaonyesha lakin at the end samia must be a coming prsident akitoka kama mtampa zumaridi ni juu yenu vigango hapo hamuumizwi na uzalendo mnapata shida kwa ushungi na wapi anatoka eti anaumwa hana raha sijui vp sijui tunaeajua nyie

Oja
 
Back
Top Bottom