Inaonekana anapitia wakati mgumu sana

Inaonekana anapitia wakati mgumu sana

Alijitakia mwenyewe
Kwanza hana uwezo wa kuwa raisi.
Pili muda wake umekwisha, alipaswa awapishe wengine ( huyu alikuwa VP ni sawa na kuwa raisi tu kwa miaka 5)
Raisi alipokufa akawa raisi. Sasa miaka 5 imekwisha kwa maana ya 10 anataka aendelee? Kwa sababu gani?? Yani atutawale kwa miaka 15???
Daah kumbe VP ni sawa na Rais,nilikua sijui ilo.
 
Alijitakia mwenyewe
Kwanza hana uwezo wa kuwa raisi.
Pili muda wake umekwisha, alipaswa awapishe wengine ( huyu alikuwa VP ni sawa na kuwa raisi tu kwa miaka 5)
Raisi alipokufa akawa raisi. Sasa miaka 5 imekwisha kwa maana ya 10 anataka aendelee? Kwa sababu gani?? Yani atutawale kwa miaka 15???
pM kaachie, bila shaka na yeye pia.
 
Naye si wanasema alipigiwa kura? Sasa iweje apigiwe kura mara nyingi kama mbunge?

Awamu zake 2 za kupigiwa kura zinatosha.
Nyie ndiyo mnatufanya tuonekane tunapinga vitu kwa mihemko kabisa. Katiba ipo wazi kua Rais atakua na makamu wake na pindi ikitokea Rais akapata shida ya kutoweza kuendelea kuhudumu basi makamu wake atachukua nafasi ya urais. Mfano leo hii CHADEMA tungeshinda uchaguzi wa 2020 ikitokea tuliemchagua akawa Rais na ikatokea kama ilivyotokea kwa JPM basi Salimu Mwalimu ndiye angekua Rais.Je,CHADEMA tungesema hamna huyu Salim Mwalimu ajapigiwa kura na wananchi? KARIBU
 
Wakati wa uchaguzi kuna drama nyingi sana.

Hao wote wamekuwepo kwenye mfumo, wamekula keki ya taifa na na kusaza, leo ni jambo gani limewasibu mpaka mwenyekiti wao awe na shida?

Hatukatai yote wasemayo yanamantiki, ila shida ni wao kuyasema hayo leo au wakati huu wa uchaguzi
Kwa kweli
Kwanini wamekuja juu sasahivi wakati walikaa kimya muda wote?
Na wengi wameenjoy maisha pamoja na Rais,iweje leo wamgeuke?
 
He looks like he was doubling down today...nashindwaga kumfuatilia kabisa hoja zake..anajaribu kusema asichotaka kusema japo anaamini anasema anachotaka kusema...halafu atasema "hawakunielewa nilikuwa natolea mfano tu!"
Lazima ukwepe kupelekwa mahakamani hawa jamaa kukukalisha gerezani mwaka mzima kwa kukosea matamshi yanayokubananisha kisheria hawashindwi

Hapo anacheza na maneno kukwepa Sheria ya kuswekwa ndani anafikisha ujimbe kwa Code
 
Kuna namna sahihi ya kucheza siasa za Tanzania, lakini si kwa njia ya Gwajima.

SIasa za Tanzania hazihitaji mbwembwe. Hii nchi sio tajiri lakini walau ina dira.

Kuna namna kwa nini baada ya Nyerere Mwinyi alikuwa rais, akafatiwa na Mkapa, akafatiwa na Kikwete, akafatiwa na Magufuli, na sasa tu mtu anaitwa Samia.

Hawa watu wanatofautiana sana. Lakini, I think, ninaweza kupata theme.

Hii nchi inahitahi iongozwe na mtu ana akili, ana humility na ana moyo.

Ukimsoma tu Gwajima, huyu mtu hana akili, hana humility na hana moyo.

Its just quite perplexing kwamba ni kiongozi kwenye dini niipendayo sana, ninayoiamini sana, ya kiKristo, but no, Gwajima is not my guy.

Kila kiftu anasema kiko transparent, so obvious kwamba anatafuta dili lake. Mfano anavyosema wakuu wa vyombo vya usalama wanahitaji kulindwa maana yake nini? Yaani mkuu wa majeshi au wa Polisi alindwe? Aongezewe maslahi zaidi ya anayopewa sasa? HOW? WHY?

Ni upuuzi, ni kujigonga, mtu yeyote anaona what Gwajima is up to. Ni akili ndogo. Ni aina ya ukristo ambao watu wa nchi za kiafrika wa miaka ya hivi karibuni wamejikuta wakikumbana nayo. Ukristo maslahi ulio mbali sana Kristo mwenyewe.

Mi siyo fan wa CCM. But nitamkataa Samia kwa mambo mengine lakini sio kwa tuhuma za Gwajima. So far kwangu baada ya Magufuli Samia hajaharibu sana. Kuna namna ambavyo mambo ningependa yawe tofauti (mfano, kuna namna rushwa na uzemve umeongezeka serikalini) lakini so far mambo yanavumilika.
Mkuu uko sahihi sana;

Kuna namna wakosoaji wake wa ndani kwa sababu wazijuazo wao ambazo hawaziweka bayana wanam-single out as if she is the worst.

Lakini jiulize, kwenye kwani mwadui, GGM na raslimali nyingi zimeuzwa /kupewa wazungu leo. Hata Bandari kabla ya DP kulikuwa na TICTS kwa miaka 30 nadhani....(sijui watu hawajui???)

Na mambo mengi mengi.... kama kuna matatizo makubwa hata sio ya Samia pekee. Ni ya CCM kwa ujumla wake...kina gwajima na polepole hawawezi kujitoa... wasrme ukweli tu kuwa hawamtaki.
 
Kuna namna sahihi ya kucheza siasa za Tanzania, lakini si kwa njia ya Gwajima.

SIasa za Tanzania hazihitaji mbwembwe. Hii nchi sio tajiri lakini walau ina dira.

Kuna namna kwa nini baada ya Nyerere Mwinyi alikuwa rais, akafatiwa na Mkapa, akafatiwa na Kikwete, akafatiwa na Magufuli, na sasa tu mtu anaitwa Samia.

Hawa watu wanatofautiana sana. Lakini, I think, ninaweza kupata theme.

Hii nchi inahitahi iongozwe na mtu ana akili, ana humility na ana moyo.

Ukimsoma tu Gwajima, huyu mtu hana akili, hana humility na hana moyo.

Its just quite perplexing kwamba ni kiongozi kwenye dini niipendayo sana, ninayoiamini sana, ya kiKristo, but no, Gwajima is not my guy.

Kila kiftu anasema kiko transparent, so obvious kwamba anatafuta dili lake. Mfano anavyosema wakuu wa vyombo vya usalama wanahitaji kulindwa maana yake nini? Yaani mkuu wa majeshi au wa Polisi alindwe? Aongezewe maslahi zaidi ya anayopewa sasa? HOW? WHY?

Ni upuuzi, ni kujigonga, mtu yeyote anaona what Gwajima is up to. Ni akili ndogo. Ni aina ya ukristo ambao watu wa nchi za kiafrika wa miaka ya hivi karibuni wamejikuta wakikumbana nayo. Ukristo maslahi ulio mbali sana Kristo mwenyewe.

Mi siyo fan wa CCM. But nitamkataa Samia kwa mambo mengine lakini sio kwa tuhuma za Gwajima. So far kwangu baada ya Magufuli Samia hajaharibu sana. Kuna namna ambavyo mambo ningependa yawe tofauti (mfano, kuna namna rushwa na uzemve umeongezeka serikalini) lakini so far mambo yanavumilika.
Kumbe kweli Kuna watu na viatu...

Haina shaka yoyote kuwa na wewe ni miongoni mwa hawa...

Unasemaje eti? Kwamba unaweza kumvumilia Chura Kiziwi (Chura asiyesikia lolote) mwenye sura ya binadamu, mwanamke aitwaye Samia..?

Wewe kumbe hufai kabisa...

This lady doesn't deserve to be in the presidential office even a single day from now...!!

Na shida yake kubwa ni:

1. Ni Mzanzibari, hastahili na hatakiwi tena kuongoza Tanganyika in the name of the damn stupid "union.."

2. Ni mwanamke. Haifai mwanamke kuwa "kichwa cha familia" kubwa iitwayo Tanganyika

3. Hana traits za uwezo wa kiuongozi katika nafasi ya juu ya u - Rais. Huyo apewe nafasi ya kwenda kuwa Afisa Maendeleo ya Jamii (W) ya Mjini Magharibi - Kizimkazi - Zanzibar...!!

Narudia, huyu hastahili kuendelea hapo alipo hata kwa dakika moja ijayo...!!
 
Kumtunza Rais mstaafu na familia yake ni gharama i see
Hzo gharama haziwezi kupunguzwa Kwan mkuu maana c analipwa mshahara akiwa kazini Kwa miaka hyo mitano na Kila kitu anatumia Bure mkuu 🤔🤔au inakuwaje mkuu
 
Lazima ukwepe kupelekwa mahakamani hawa jamaa kukukalisha gerezani mwaka mzima kwa kukosea matamshi yanayokubananisha kisheria hawashindwi

Hapo anacheza na maneno kukwepa Sheria ya kuswekwa ndani anafikisha ujimbe kwa Code
Absolutely, YES...

The guy actually was so tricky ktk presentation yake...

Lakini behind the scene, alikuwa anamkaanga kiaina Mama Kizimkazi...

Hizi "code" za hawa wawili (Polepole & Gwajima) wana CCM waliokwisha jitokeza hadharani na kujilipua, is not a coincidence. Ni mission ambayo iko very properly planned ikiwa na support ya kundi jingine kubwa...

Kama Bi Kizimkazi ataendelea kutokuwa na akili zenye ufahamu na maarifa akafanya "needful & timely correct decisions now", her history will be dimmed to the 🌑 dark side of the world...

Tukumbuke kuwa, huyu mama 2021 ilikuwa asipewe kabisa nafasi hiyo baada ya kifo cha Magufuli. At last, ikakubaliwa kuwa katiba iheshimiwe, apewe amalizie muda uliosalia. The plan was not this she's trying to force...

Hawa jamaa wawili code zao ziko very clear kwa yeyote mwenye kudadisi.

Kwanza;
1. Wote wawili hawa wamemlamba uppercuts za kuua kabisa kinara wao. Tofauti ni style tu ya deliverance ya jumbe zao..

2. Katika hawa wawili, Humphrey Polepole ni kiboko kwa sbb kampa makavu live bila kupepesa macho. Hakuwa na ushauri bali ni hit 🎯 & run...

3. Askofu Gwajima is so diplomatic. Lakini message is so painful inayopesa mpaka kwe "Malo" za mifupo ya wale hayawani...

4. Hawa watu wote ni wa Kanda ya Ziwa. Askofu Gwajima (Misungwi - Mwanza) na Polepole (Rorya - Mara)..

5. Hawa watu wote wawili wametumia very tricky statement moja kuwa, "..Mimi bado na nitaendelea kuwa mwana CCM". Askofu Gwajima yeye kaongeza jingine kusema, "...nitapambana nikiwa CCM, mpaka mambo yabadilike..."

6. Wote tunajua kuwa, kwa nature ya CCM, huwezi kuwa against Mwenyekiti na Rais wa CCM tena huyu wa kipindi hiki ambaye amezungukwa "wanywa damu", yet ukawa mwana CCM uliye salama...!

Something fishy is under the fire. Sitashangaa hata kidogo meza ikipinduliwa na chakula chote kumwagika...!!
 
Kwanza urais ilitakiwa iwe miakaa mitano tu baada ya hapo aje mwinginee maana WATANZANIA wasomi n wengi na wenye uwezo wakuongozaaa...
Ndivyo ilivyo mbona, ndio maana baada ya miaka mi 5 tunatafuta tena msomi mwingine wakuongoza.

Sasa kama kura itaamua aendelee huyo alietoka basi ataendelea kama vinginevyo basi atatolewa kwa KURA.

Nadhani haya Yote Na mengine majibu yapo kwenye MASANDUKU ya KURA.

Watu Wakapige Tu KURA waamue
 
. So far kwangu baada ya Magufuli Samia hajaharibu sana. Kuna namna ambavyo mambo ningependa yawe tofauti (mfano, kuna namna rushwa na uzemve umeongezeka serikalini) lakini so far mambo yanavumilika.
Hili hitimisho lako limekuwa dhaifu mno. Halafu hoja ya Ukristo wako kwenye hoja za Gwajima umeingiaje?
 
Unazingua madam
Kwanini?
Mimi mara mia niwaunge mkono na kuwaamini chadema kwamba wanamaanisha maana wao wameanza kuimba hizi nyimbo kitambo
Ila hawa CCM Kuna walakini sana,yawezekana wanaimba hizi nyimbo kwa maslahi yao binafsi baada ya kukosa walichokitaka.
 
Nyie ndiyo mnatufanya tuonekane tunapinga vitu kwa mihemko kabisa. Katiba ipo wazi kua Rais atakua na makamu wake na pindi ikitokea Rais akapata shida ya kutoweza kuendelea kuhudumu basi makamu wake atachukua nafasi ya urais. Mfano leo hii CHADEMA tungeshinda uchaguzi wa 2020 ikitokea tuliemchagua akawa Rais na ikatokea kama ilivyotokea kwa JPM basi Salimu Mwalimu ndiye angekua Rais.Je,CHADEMA tungesema hamna huyu Salim Mwalimu ajapigiwa kura na wananchi? KARIBU
Hakuna anayebisha kuhusu hili. Isipokuwa nafasi yake tayar imetosha kwa vipindi ambavyo naye amekuwa sehemu ya kuchaguliwa.
 
Back
Top Bottom