Inamaana gani mtu kukublock what's up?

Inamaana gani mtu kukublock what's up?

Bi shost amepata mchumba jamani Karla mapenzi niuwe qalitofautiana kidogo. Shost aliitwa kazini anampigia simu mchumba kumtaarifu mchumba akapata simu. Kwa hasira shost alimblock mchumba akiwa kwenye ile shift, baada ya muda wa kazi kuisha ana ends ku-unblock mchumba amekasirika na uchumba umekufa.

Kuna ubaya gani kumblock mtu?
Mkuu ishu kubwa hapo ni kisasi na hasira siku zote tunasema hasira hasara
 
Shuhuli anaipata hata mm
Uniblock kwa kukata tu cm
Woy!! Utavuna ulichopanda

Kama kujioa utajioa Mwenywe

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Mimi ni mdada lakini nashangaa shost angu tukiwa pamoja tunacheka vizuri story kwa sana hatuna tofauti yoyote ila nimechunguza kaniblock wasap na fcbok ninapopitishaga macho kuangalia story za IDD MAKENZO...ila bi dada ni mhaya na anawivu sana,....sijui kwa nini wahaya hawapendagi kuona mwenzake anamzidi kwa chochote???? Amekutana na mchaga asiyenepa...wahaya shaaaaaa hebu badilikenii mmezidi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mankaaaaa!! Mwambie shost ako
Ulienda town kusaka dor

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
lazima tujue kwanini ali block alitakiwa amwambie unitafute muda huu kwa sasa nipo shift!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom