Inamaana gani mtu kukublock what's up?

Inamaana gani mtu kukublock what's up?

Ndio shida ya kushindwa kudhibiti hasira...kitu kidogo tu anakasirika..watu wengine bwana
 
Mtu kukublock means hauna umuhimu. Mtu hata akiwa mchumba wako ni kosa la jinai kumblock kisa hasira. Halaf eti unampenda. How?
Hata ingekuwa mm ningempiga chin tayar..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bi shost amepata mchumba jamani Karla mapenzi niuwe qalitofautiana kidogo. Shost aliitwa kazini anampigia simu mchumba kumtaarifu mchumba akapata simu. Kwa hasira shost alimblock mchumba akiwa kwenye ile shift, baada ya muda wa kazi kuisha ana ends ku-unblock mchumba amekasirika na uchumba umekufa.

Kuna ubaya gani kumblock mtu?
Habari za mashosti wako tumezichoka lete zako sasa
 
Kwa maelezo ya binti ilikuwa ni hasira ya kukatiwa simu lakini anampenda mwanaume mwanzo mwisho
Mpuuzi tu huyo binti hata hajielewi. Kama jamaa alikata simu anaweza alikuwa busy, huyo binti angemjulisha hata kwa text alichotaka kumweleza.
 
Inasikitisha sana..

Hasira hasara... But kwa nini jamaa amkatie simu mwenzake? Na kwa nini mwanamke am-block kwa hasira...


Kuna jambo siyo zuri nyuma ya pazia...


Cc: mahondaw
 
Mpe pole. Sasa kwanini amblock ubavu na sabuni ya roho yake.

Kama unamwonea huruma sana fanya yale mambo ya caring is sharing... mgaie namba za kilongalonga changu
Not to that extent
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom