Inamaana gani mtu kukublock what's up?

Inamaana gani mtu kukublock what's up?

Unajua nimekuja kugundua kwa nn ndoa za siku izi hazidumu,...ujinga ujinga kama huu,..
 
Kama kukatiwa simu kakasirika mpaka kublock namba ya simu ya mchumba! Je majukumu ya kimama atayaweza?

Huyu binti bado mdogo tu, asubiri akue atapata mchumba mwingine
 
Sipendi mwanamke wa Tit for Tat.. sipendi.

Kuna baadhi ya wanawake, ukimfanyia hivi analipiza kwa hili. Siwapendi ... yaani siwapendi
Uko sahihi mkuu, mwanamke wa tit for tat anakuua kabisa. Maana huwa hawajui kucontrol emotions na pia huwa hawakubali kushindwa
 
Nishapigwa Sana Ban alafu ule muda wa uhai wa Ban unakuta ni muda aliokuwa kuutumia kuweka DP Ya kidume mwingine supported with status yenye vineno like "can't stop thinking of you".

Haha haha haha kwa kutokujua kwenye simu yake kuna namba ya mwana mmoja nimeisave so ile "viewed by my contacts only" ikawa inasomeka tu Kule kwa mwana.... Jamaa ikawa anasoma ramani ana scree shoot alafu anatuma kwangu.

Zile zerui nazikumbukaga alafu nacheeka.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom