Inamaana gani mtu kukublock what's up?

Inamaana gani mtu kukublock what's up?

Bi shost amepata mchumba jamani Karla mapenzi niuwe qalitofautiana kidogo. Shost aliitwa kazini anampigia simu mchumba kumtaarifu mchumba akapata simu. Kwa hasira shost alimblock mchumba akiwa kwenye ile shift, baada ya muda wa kazi kuisha ana ends ku-unblock mchumba amekasirika na uchumba umekufa.

Kuna ubaya gani kumblock mtu?
uandishi wako unaujua mwenyewe sijui unakuwa unatafsiri kikwenu to kiswahili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom