Inakuaje unakuwa na mwanaume mmoja tu?

Inakuaje unakuwa na mwanaume mmoja tu?

Kuwapanga inakuwa tabia yako tu ya kimalaya Malaya na si kulipiza ...genye mshindo
 
tembeeni kifua MBERE we are on the right track, maendeleo hayana RICHAMA..
 
Meanaume mmoja anakuhonga elfu hamsini mara wanaume kumi una laki tano. Huo si mtaji wa kufuga kuku wa kisasa kabisa.
Simaanishi ulale na wote. mabwege ya kuwachuna hawakosekani

Daah, kwahiyo mwanaume anajibana, anakusaidia hela uliomuomba, hlf unamwita bwege Tuttyfruity
 
Duh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Hatari hii
 
Wanaume ni wachache sana jamani ila kuna wanawake wenye wako na wanaume zaidi ya wawili...

Tuhurumieni na sie basi hatuna hata wa kupiga nae selfie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Meanaume mmoja anakuhonga elfu hamsini mara wanaume kumi una laki tano. Huo si mtaji wa kufuga kuku wa kisasa kabisa.
Simaanishi ulale na wote. mabwege ya kuwachuna hawakosekani
Duh
 
Back
Top Bottom