Inakuaje unakuwa na mwanaume mmoja tu?

Inakuaje unakuwa na mwanaume mmoja tu?

Ni vigumu sana mwanamke kugawanya love and care kwa ampendae. Ni rahisi sana kuegama upande mmoja na itaonekana wazi.

Kama umegundua mwanaume sio muaminifu kwanini usimuache uendelee na mambo yako mengine. Kushindana na mwanaume kwenye uzinzi kuna hasara kuliko faida.

Mwili huo unaogawa gawa ovyo ni wa huyo mwanaume au wa kwako.
 
Ukiwa muaminifu huwezi kuumia,Mungu atakutetea na atakuepusha na udhalimu wa watu wabaya,.ila kama umewapanga basi nawewe utapangwa tuu "muosha huoshwa"
Shost kwa hili napingana nawe. Ukiamua kuwa mwaminifu kuwa mwaminifu kwa ajili ya kujithamini mwenyewe na sio kuepusha maumivu, maana waaminifu wengi ndio wanaoongoza kwa kuumizwa!
 
Hii ishu mtuachie wanaume tu maana kazi ya funguo bora ni kufungua kufuri nyingi lakini ninyi kufuri bora ni kufunguliwa na funguo moja tu ambae ni mmeo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We dada mada zako zinaonyesha una element zote za umalaya mara unalalamika mpenzi wako hakupi vocha ila anataka umtext mwishowe umeamua kuwapanga inaonekana upo hapa kutangaza biashara
 
Back
Top Bottom