Inakuaje unakuwa na mwanaume mmoja tu?

Inakuaje unakuwa na mwanaume mmoja tu?

TAMAA Saint anne ndiyo chanzo kikubwa cha hili.
Tamaa mwisho wake Ni mbaya..Ni ubatili tu.
Hakuna kitu kizuri Kama kuridhika na ulichonacho.
Kuridhika na Hali ya Maisha unayoishi..hata kama Ni ya chini.
Kuridhika na mwanaume wako mmoja.
Inatakiwa mtu yeyote asiudharau ujana wako..Bali uwe kielelezo.
Ila,Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha.
 
Sijausoma uzi hadi mwisho, ila nilitaka kusema ni kuwa huyo Drogba ajaribu kurudi chelsea maana safu ya ushambuliaji imepwaya sanaaa..
 
Meanaume mmoja anakuhonga elfu hamsini mara wanaume kumi una laki tano. Huo si mtaji wa kufuga kuku wa kisasa kabisa.
Simaanishi ulale na wote. mabwege ya kuwachuna hawakosekani
 
Sijui mengi ila najua wenye hekima walishasemaga 'dont put all ur eggs in one basket'

Km unabisha go argue with your ancestors😉
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eendiwooooo
 
Meanaume mmoja anakuhonga elfu hamsini mara wanaume kumi una laki tano. Huo si mtaji wa kufuga kuku wa kisasa kabisa.
Simaanishi ulale na wote. mabwege ya kuwachuna hawakosekani
Yesu wangu[emoji134]
 
Mekupenda Bure [emoji39][emoji39]
Ifike hatua wadada tuwe na hofu ya Mungu jamani,hizi dhambi nyingine Ni za kuziepuka.hivi Kuna gharama gani kutulia na mtu mmoja!?
Kuna faida gani kuruka ruka huku na huko!?
Sijajua relationship zao wamafocus kwenye Nini..ila kwa mtu anayefocus kwenye ndoa hawezi fanya huu ujinga.

Hivi kwanza utagawaje upendo kwa mtu zaidi ya mmoja!??
Wengine tumeshindwa kabisa kufanya ujinga wa kupanga wanaume.

Ndio maana wadada tunaitwa wadangaji kwa ujinga Kama huu..
Wengi hawajajua maana ya upendo..upendo haukosi kuwa na adabu
 
Meanaume mmoja anakuhonga elfu hamsini mara wanaume kumi una laki tano. Huo si mtaji wa kufuga kuku wa kisasa kabisa.
Simaanishi ulale na wote. mabwege ya kuwachuna hawakosekani
Subiri povu
 
Hapana ...sio Drogba ni Ibramohvic kwani Man U majanga ...mdigo hawajui walitendalo
 
Ndo mana mi napendaga tu mnavyofanywa mkikutwa

Juzi jamaa kahukumiwa adhabu ya kufanya usafi hospitals kwa mwaka mmoja kosa kaua Mke wake


Sasa endeleni siwatishi Ila ndo hivyo tu
 
Back
Top Bottom