Inakuaje unakuwa na mwanaume mmoja tu?

Inakuaje unakuwa na mwanaume mmoja tu?

Ni hatari kweli, akifa je? Au akipoteza uwezo wa kufanyana?
 
BITCH!!!

Mleta mada rudia soma mara nyingi hiyo sentence kadiri uwezavyo huwa siandiki kwa herufi kubwa so nilichoandika nimemaanisha.
 
Wanaume ni wachache sana jamani ila kuna wanawake wenye wako na wanaume zaidi ya wawili...

Tuhurumieni na sie basi hatuna hata wa kupiga nae selfie
Ha ha ha ha ha sjasikia vzur unasemaaa?
 
Back
Top Bottom