boss nimeweka earphone na nimefungulia radio mpaka juu hapa nilipo nachoexperience ni kelele kwa sauti kuwa kubwa tu, sijaona huo muingiliano mbona.nimesema earphones na redio inayotoa sauti ya kutosha kwa maana.
kwa kawaida kunakuwa na mwangwi, maana mtu atakuwa anapokea signal ileile kutoka sehemu mbili tofauti.
boss nimeweka earphone na nimefungulia radio mpaka juu hapa nilipo nachoexperience ni kelele kwa sauti kuwa kuvwa tu, sijaona huo muingiliano mbona.
Naamini inawezekana sana ni swala la allocation la TCRA tunaona watu 8 kuzungumza lugha tofauti, yani hata sijui ulimaanisha nini!.
Kifupi tu inakuaje frequency moja isitumike pote?.
Hebu aje mwingine afanye kufungulia radio na avae earphone awashe radio ya simu yake halafu alete mrejesho hapa!. Denvers hebu fanya hiki mzee.we jamaa... hujasikia mwangwi wowote? kuweka frequency moja angalau kwa mikoa jirani itasababisha mwingiliano kwa walio maeneo ya katikati ambayo wanaweza kupata mawimbi kutoka transmission points mbili wakati mmoja.
Yawezekana hii ikawa sababu mkuu 👇👇👇Naamini inawezekana sana ni swala la allocation la TCRA tu
kuweka frequency moja angalau kwa mikoa jirani itasababisha mwingiliano kwa walio maeneo ya katikati ambayo wanaweza kupata mawimbi kutoka transmission points mbili wakati mmoja.
Daaaa,mdau umezaliwa lini?Sijataka somo la AM na FM nimeuliza frequency kuwa tofauti.
We umesikia Radio gani inatumia AM Tanzania!.
Umeovershoot!.
Sijataka somo la AM na FM nimeuliza frequency kuwa tofauti.
We umesikia Radio gani inatumia AM Tanzania!.
Umeovershoot!.
Hayo mawimbi yanalipiwa one time au kila mwezi?.
Ngoja nimpigie binamu yanguNjoo dodoma af uone utaskia redio gani... Au kama una ndugu dodoma mpigie simu aweke af akwambia anaskia redio gani
Inawezekana ikawa inapatikana kupitia hizo AM lakini kwa sasa FM ndio kila kitu kwahiyo AM imekuwa obsolete somehow!.Daaaa,mdau umezaliwa lini?
Hujui kuwa redio one inapatikana hadi leo AM KHz 1440,Radio Free Africa Khz 1377,pia zipo RTD(leo TBC Taifa), PRT-RTD(leo TBC FM) na Sauti ya Tanzania Zanzibar(leo ZBC Radio)!
Hizo Frequency zipo hadi leo ukitaka unaweza kusikiliza KBC Nairobi,DW pia kupitia masafa ya Short Wave(SW)!
Lakini yapasa kufahamu tu kuwa masafa ya AM(Amplitude Modulation) huwa na sifa sawa na masafa ya MW(Medium Wave), yote yakiwa na uwezo wa kusafiri masafa marefu,lakini huwa yana makelele,hasa inapokutana na Minara na umeme,lakini yana nguvu sana. Ndiyo maana kwa mji kama Dar,hayafai sana kwa sababu ya muingiliano,lakini huwa tulivu nyakati za usiku.
lete rejeshoNgoja nimpigie binamu yangu
kwanini haiwezekani?.Kama ndio msingi wa swali lako hiyo haitawezekena, sio hapa Tanzania bali hata kwa watengenezaji mitambo.
Haiwezekani ukapewa P.O. Box 000, Shinyanga. Iwe hiyo hiyo uitumie Geita.
Poalete rejesho
kwanini haiwezekani?.
Kwanini wanaikataa hiyo "frequency takeover" maana kwenye website inatokea sana tu, twitter walinunua domain name hata Facebook or google nadhani!. Unakuta kuna mtu alikuwa anaimiliki unainunua inakuwa yako.
sasa kwanini Po. Box 35 ya kigoma nikataliwe kuinunua Po. Box 35 ya Iringa?.