Wick
JF-Expert Member
- Dec 19, 2012
- 8,313
- 12,123
Wajuvi wa mawimbi ya sauti ningependa kupewa somo kuhusu masuala ya mawimbi ya sauti.
Swali langu ni kuwa inakuaje Wasafi FM wanatumia 88.9 pekee kujitangaza wakati radio nyingine hawajitangazi kwa frequency moja.
Mfano ukiwa Dar es salaamClouds FM utawasikia kwa 88.5 ukiwa Dodoma utawasikia kwa 104.5.
Je ni suala la ukubwa wa mitambo, bei au ni kipi hasa kinafanya mmoja atumie frequency moja kujitangaza Tanzania nzima mwingine atumie frequency tofauti kujitangaza.
Ni taasisi binafsi, serikali au nani anayepanga na kumiliki hizi frequency?
__________________________________
je yaweza kuwa hii ndio sababu!?👇

kuweka frequency moja angalau kwa mikoa jirani itasababisha mwingiliano kwa walio maeneo ya katikati ambayo wanaweza kupata mawimbi kutoka transmission points mbili wakati mmoja.