Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Hii mada ngumu ila naomba univumilie nitatafuta majibu kwa injinia wangu mmoja hivi atanipa majibu ya uhakika nami nitayaleta kwako hata kama nitachelewa.ooh kwa nilivyoelewa basi mfano 93.5 ikiwa ni radio dsm unaweza kuta ni wimbi la TISS morogoro so itabidi wenye radio wapewe wimbi jingine morogoro!.
Sasa kama ni hivi kwanini usiwepo utaratibu mawimbi fulani yawe ya usalama then kuanzia wimbi fulani yawe ya radio.
Yani mawimbi yapangwe kwa vigezo au wimbi la 98.6 dsm likienda Mtwara litakuwa na nguvu ndogo thats why itabidi wapewe wa karibu hilo wimbi!.