Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,276
- 2,470
Yah choice fm mkuu wanatumia frequency moja dom na dar sielewagiCHOICE FM au COCO FM nini!?.
Yah choice fm mkuu wanatumia frequency moja dom na dar sielewagiCHOICE FM au COCO FM nini!?.
Sasa mkuu unashindwa kujiongeza maswali mepesi kama hayo,Hayo mawimbi yanalipiwa one time au kila mwezi?.
Ni choice fm 102.5. My favorite radio stationNaona wengi hawajaelewa swali lako.... Mimi pia nikiwa dar au dodoma naskiliza 102.5 redio moja hiyo hiyo hawabadilishi frequency.... Jina la redio nimesahau ila inamilikiwa na clouds media
Kwahiyo kumbe hii Wasafi FM ni kachannel kadogo tu!.Wanawasikia kupitia azam dish
Hiyo wasafi 88.9 ni kama e fm 97.3.
Sawa na ea radio 88.1
Vile vile clouds 88.5!
Hayo ni masaya ya dar, ila mikoani kuna code zao tofauti na hizo hapo juu.
Kwani wewe unataka kujua nini hasa?
Kama ndio hivyo, bado nitauliza inakuaje Radio Station isinunue frequency moja kwenye kila mkoa ili iweze kutengeneza a strong brand base!. Au ukubwa wa mawimbi unatofautiana kila mkoa?.Yah choice fm mkuu wanatumia frequency moja dom na dar sielewagi
Ndo hapo watu wajibu kitaalamu wengi hawajui kitu wanajibu pumba tuKama ndio hivyo, bado nitauliza inakuaje Radio Station isinunue frequency moja kwenye kila mkoa ili iweze kutengeneza a strong base!. Au ukubwa wa mawimbi unatofautiana kila mkoa?.
Exactly!!.. au kama vipi mfano hizi Radio kubwa kwanini wasinunue frequency moja kwenye kila eneo (hata kama anaimiliki mwingine bei si maelewano) ili sisi wateja badala ya kufika mkoani naanza hangaika itafuta frequency ya pale.Una maswali mazuri Ila naona baadhi hawajakuelewa itakuwa..
Siku zote nilikuwa nawaza kwanini hao tcra wasiwape hizo radio frequency moja nchi nzima kwa kila radio badala ya kuwa tofauti kila mahali
Darasa la 7 mwenzangu, kwani frequency ni gharama kuinunua mara ya kwanza au ni sababu ipi inayofanya kampuni isiamue kufanya "frequency takeover" mikoa yote!?.Kwa uelewa wangu wa darasa la saba iko hivi.
Unapoenda TCRA kuomba masafa wanakupa masafa ambayo hayaingiliani na chombo chochote kile katika eneo hilo. Hivyo ukienda mikoani pia watakupa masafa yako mwenyewe katika eneo hilo pia. Hii hufanyika ili kuepusha mwingiliano wa sauti au mawasiliano kwani masafa hayo hayo hutumika hata kwenye mambo ya kiusalama nchini.
Wakati mmoja nilikuwa nafanya kazi kwenye chombo kimoja cha habari, siku moja masafa yetu ya kutangazia yakayumba mfano ilikuwa ni 94.3 yakaenda 94.5. Redio ilikuwa haina usikivu mzuri na tuliingilia matangazo ya wenzetu na meneja ilibidi ashauri redio itolewe hewani ili kurekebisha tatizo kwani ni kosa kubwa kutoka nje ya mipaka yako ya matangazo.
Nimejaribu kuelezea kutumia elimu ya darasa la saba. Wenye Gidiriii 4 mnaruhusiwa kukosoa.
Na hichi ndicho hasa nachomaanisha...inazingua kila mkoa ukienda inabidi uanze fuatilia frequency ya radio yako upya kulingana na eneo. Hiyoharmonization ingeweka situation poa sana yani..Exactly!!.. au kama vipi mfano hizi Radio kubwa kwanini wasinunue frequency moja kwenye kila eneo (hata kama anaimiliki mwingine bei si maelewano) ili sisi wateja badala ya kufika mkoani naanza hangaika itafuta frequency ya pale.
Basi najua kabisa nikiwa mkoa wowote TZ nikiweka hiyo frequency nimeipata radio niitakayo!.
Frequency hulipiwa na huwezi kulipia masafa hayo hayo kwa mikoa yote nchini kwani huko mikoani huwenda hayo masaa yanatumika kwa shughuli nyingine. Rejea andiko langu nimesema muda mwingine yanaweza kutumika hata kwa mambo ya usalama.Darasa la 7 mwenzangu, kwani frequency ni gharama kuinunua mara ya kwanza au ni sababu ipi inayofanya kampuni isiamue kufanya "frequency takeover" mikoa yote!?.
Wajuvi wa mawimbi ya sauti ningependa kupewa somo kuhusu masuala ya mawimbi ya sauti.
Swali langu ni kuwa inakuaje Wasafi FM wanatumia 88.9 pekee kujitangaza wakati radio nyingine hawajitangazi kwa frequency moja.
Mfano ukiwa Dar es salaamClouds FM utawasikia kwa 88.5 ukiwa Dodoma utawasikia kwa 104.5.
Je ni suala la ukubwa wa mitambo, bei au ni kipi hasa kinafanya mmoja atumie frequency moja kujitangaza Tanzania nzima mwingine atumie frequency tofauti kujitangaza.
Ni taasisi binafsi, serikali au nani anayepanga na kumiliki hizi frequency?
ooh kwa nilivyoelewa basi mfano 93.5 ikiwa ni radio dsm unaweza kuta ni wimbi la TISS morogoro so itabidi wenye radio wapewe wimbi jingine morogoro!.Frequency hulipiwa na huwezi kulipia masafa hayo hayo kwa mikoa yote nchini kwani huko mikoani huwenda hayo masaa yanatumika kwa shughuli nyingine. Rejea andiko langu nimesema muda mwingine yanaweza kutumika hata kwa mambo ya usalama.