Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,034
- 144,388
Hauna kingine cha kusema?Lema,unatafuta attention for nothing,umekatalia utumwani kwa kukwepa bank loan
Lema ataacha lini siasa za TAHARUKI zisizomsaidia?!!!!By Godbless Lema kupitia twitter:
"Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ."
Also by Martin Maranja Masese kupitia twitter:
"Freeman Mbowe ni mahabusu, sio mfungwa, na kuna utaratibu wa kuwapa mahabusu chakula kutoka nje ya gereza haswaa weekends. Leo watu waliopeleka chakula gereza la Ukonga kwa Freeman Mbowe wamezuiwa, na wanasisitiza ni amri kutoka juu. Mambo ya hovyo yanaendelea kufanyik."
Na wewe utaacha lini siasa za kuishi kwa kulamba viatu vya watawala?Lema ataacha lini siasa za TAHARUKI zisizomsaidia?!!!!
Aendelee tu KUBWABWAJA huko UGHAIBUNI.....
Lema anavilamba viatu vya Mbowe mwishowe kawa mkimbizi......Na wewe utaacha lini siasa za kuishi kwa kulamba viatu vya watawala?
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Mbowe hatakufa bali ataishi na kuyatenda matendo makuu ya Mungu aliyehai.Bimdashi amedhamiria kumpoteza kabisa Mbowe , wanaona kesi inawaelemea wanataka wamuue kwa njaa.
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Tumekusikia dada tellerLema,unatafuta attention for nothing,umekatalia utumwani kwa kukwepa bank loan
Hicho ni uwongo?Hauna kingine cha kusema?
Ndio maelekezo waliyopewa kutoka juuHauna kingine cha kusema?
Mpumbavu wa kulipwa na chana dolaLema,unatafuta attention for nothing,umekatalia utumwani kwa kukwepa bank loan
Lema ataacha lini siasa za TAHARUKI zisizomsaidia?!!!!
Aendelee tu KUBWABWAJA huko UGHAIBUNI.....
Lema ameolewa huko aache keleleBy Godbless Lema kupitia twitter:
"Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ."...
Wewe ni mtafuta kiki za kijinga. Huna mvuto tena kisiasa acha kuzusha taharuki. Hebu rudi nyumbani umejitafutia ukimbizi wa sifaBy Godbless Lema kupitia twitter:
"Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ...
Wewe ulimkopesha?Lema,unatafuta attention for nothing,umekatalia utumwani kwa kukwepa bank loan