Inadaiwa Freeman Mbowe azuiliwa kupewa chakula akiwa mahabusu

Skylar

JF-Expert Member
Nov 10, 2021
360
1,000
By Godbless Lema kupitia twitter:

"Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ."

Also by Martin Maranja Masese kupitia twitter:

"Freeman Mbowe ni mahabusu, sio mfungwa, na kuna utaratibu wa kuwapa mahabusu chakula kutoka nje ya gereza haswaa weekends. Leo watu waliopeleka chakula gereza la Ukonga kwa Freeman Mbowe wamezuiwa, na wanasisitiza ni amri kutoka juu. Mambo ya hovyo yanaendelea kufanyik."
Kama ni kweli basi huu ni unyama hali ya juu
 
MWANDENDEULE

JF-Expert Member
May 24, 2015
3,331
2,000
Hata jiwe alijiita mamlaka toka juu ila leo hii funza walishafanya yao. Watetezi wake akina sabufa wamponda tena huku duniani
 
ksk

JF-Expert Member
Mar 30, 2016
978
1,000
Bimdashi amedhamiria kumpoteza kabisa Mbowe , wanaona kesi inawaelemea wanataka wamuue kwa njaa.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Ukianza kuongelea ya kumuua Mbowe ndiyo unaharibu kabisa. Labda magereza wanaogopa maadui wa Mbowe toka CHADEMA wasijemuekea sumu Mbowe alafu wailaumu serkali. Inabidi magereza wawe waangalifu maana kinachotafutwa ni kuchafua jina la nchi kwa hali yyote. Kwa hiyo CHADEMA wanaweza kunyunyuzia sumu kwenye chakula akifariki Mbowe wailaumu serkali.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
21,762
2,000
By Godbless Lema kupitia twitter:

"Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ."

Also by Martin Maranja Masese kupitia twitter:

"Freeman Mbowe ni mahabusu, sio mfungwa, na kuna utaratibu wa kuwapa mahabusu chakula kutoka nje ya gereza haswaa weekends. Leo watu waliopeleka chakula gereza la Ukonga kwa Freeman Mbowe wamezuiwa, na wanasisitiza ni amri kutoka juu. Mambo ya hovyo yanaendelea kufanyik."
Huend wanampa chakula kizuri zaidi. Wameanza kuogopa Mbowe asija kudhulika itakula kwao. Wanamlinda vyema kama Mfalme.
 
Pythagoras

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
21,762
2,000
Ukianza kuongelea ya kumuua Mbowe ndiyo unaharibu kabisa. Labda magereza wanaogopa maadui wa Mbowe toka CHADEMA wasijemuekea sumu Mbowe alafu wailaumu serkali. Inabidi magereza wawe waangalifu maana kinachotafutwa ni kuchafua jina la nchi kwa hali yyote. Kwa hiyo CHADEMA wanaweza kunyunyuzia sumu kwenye chakula akifariki Mbowe wailaumu serkali.
Utopolo
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
33,480

Akili za kishetani ziko CCM tu.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
33,480
2,000
Kwa kuwa wewe ndiye mamlaka ya uteuzi ni lini nilikuomba uniteue?!!
Huyo mteuzi naye ana akili anajua watu modeli yako ni bendera fuata upepo. Utasugua sana bench hadi makalio yaote sigda.
IMG-20211205-WA0006.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,817
2,000
Huyo mteuzi naye ana akili anajua watu modeli yako ni bendera fuata upepo. Utasugua sana bench hadi makalio yaote sigda. View attachment 2034379

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Uko obsessed sana na masuala hayo huku ukiwa na illusion kunihusisha nayo kana kwamba una YAKINI vile....🤣🤣

Sijawahi kuwa bendera fuata upepo kuisemea CCM....

Tatizo lako unadhani nimeanza kuwa STAUNCH SUPPORTER kipindi hiki.....nilikuwa hivyo kipindi cha JK/JPM na hata kipindi chako ukiwa "mwenyekiti wa CCM"....

Kwangu ninatanguliza heshima kwa yeyote anayetuongoza.......

Nisalimie ufipa hapo kwa mwenyekiti dikteta wa miaka 20 sasa 🤣🤣🤣
 
KooZito

JF-Expert Member
Dec 14, 2020
396
1,000
Yaani watu humu ni wajinga sana. Hivi mleta uzi unajua chakula kutoka nje ni danger sana gerezani kuliko kula na masela chakula Cha Serikali. Unajua kilichomkuta Tito Magoti? Nikupe elimu kidogo. Gereza la Ukonga kutoka kaunta unapoonjea chakula hadi chumba alipo Mbowe Kuna korido tatu. Mtu wa nje kuonja chakula si tatizo. Katikati ya korido kabla ya chakula kumfikia mahabusu Kuna "perfume" njiani. Chakula safe ni Cha gereza mnakula pamoja.
 
toughlendon_1

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
3,431
2,000
Lema ataacha lini siasa za TAHARUKI zisizomsaidia?!!!!

Aendelee tu KUBWABWAJA huko UGHAIBUNI.....
Mkuu fanyia vitu research ndio uje ulisemee hili moja kwa moja, hata aliyeleta mada hana uhakika na ndio mana akasema a maana yake this is still a developing story...kwahiyo alichosema lema na mwenzie kipingwe kwa hoja pia sio kwa provocation ulizotoa. Inawezakuwa lema anabwabwaja yes hatukatai , lakin vipi kama anasema ukweli ? .

Okay lets say ni uwongo ila sasa swali la kujiuliza kwanini wengine wameamini ?. Tunapotaka kutatua matatizo twende kwenye root-cause ndio tuanzie huko, Police wa Tz wanakaujinga fulan hivi ndio mana hawaaminiki na jamii, yan inaeza kuwa kweli Lema karopoka ila katumia weakness hiyo hiyo ya askari kutoaminika sababu the level of stupidity ya our cops ni ya kiwango cha reli ya srg. Vile vile linaweza kuwa limefanyika sababu, tunarud kule kule askari huwa na kaupumbavu fulan ivi, yan wao huwa wanadhani ile kazi yao wamepewa sababu ya kulinda interest za watu fulan wachache , the rest hawana habari nao.
 
mjingamimi

JF-Expert Member
Aug 3, 2015
32,464
2,000
We hujui katiba ni mwiba kwa mama na ccm kwa ujumla???We hujui katiba mpya ina maanisha upinzani kuchukua Dola?we hujui harakati za mwamba za katiba ni mwiba mkali sana?we hujui???!!!
Kudai Katina mbowe hajaanza leo.
Na sio Peke yake anayedai katiba
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom