Inadaiwa Freeman Mbowe azuiliwa kupewa chakula akiwa mahabusu

Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
33,558
2,000
Niliota analazimishwa kusaini kadi ya CCM.

Wataalam wa ndoto wanaweza kuipa nyama ndoto yangu.
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,907
2,000
By Godbless Lema kupitia twitter:

"Tuna fuatilia kwa makini kitendo cha Familia ya Mkti Freeman Mbowe kuzuiwa kumpatia Mkti chakula kwa kuwa kuna maelekezo kutoka juu ."

Also by Martin Maranja Masese kupitia twitter:

"Freeman Mbowe ni mahabusu, sio mfungwa, na kuna utaratibu wa kuwapa mahabusu chakula kutoka nje ya gereza haswaa weekends. Leo watu waliopeleka chakula gereza la Ukonga kwa Freeman Mbowe wamezuiwa, na wanasisitiza ni amri kutoka juu. Mambo ya hovyo yanaendelea kufanyik."
Kwa huu utawala katili lolote linawezekana
 

Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
53,907
2,000
Chadema wakati mwingine mtulie na kutafakari.Chakula kililetwa na nani?Sio kila mtu akileta chakula kitapokelewa kwa mtu mkubwa kama yule
Umeambiwa familia yake ilipeleka chakula, Bashite wa wapi wewe?
 

SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
33,480
2,000
Uko obsessed sana na masuala hayo huku ukiwa na illusion kunihusisha nayo kana kwamba una YAKINI vile....🤣🤣

Sijawahi kuwa bendera fuata upepo kuisemea CCM....

Tatizo lako unadhani nimeanza kuwa STAUNCH SUPPORTER kipindi hiki.....nilikuwa hivyo kipindi cha JK/JPM na hata kipindi chako ukiwa "mwenyekiti wa CCM"....

Kwangu ninatanguliza heshima kwa yeyote anayetuongoza.......

Nisalimie ufipa hapo kwa mwenyekiti dikteta wa miaka 20 sasa 🤣🤣🤣
Kataa kubali ukweli ndiyo huo,kingereza kingi hakikusaidii. Hiyo ni lugha tu kama Kindengereko chetu.
 

Kinoamiguu

JF-Expert Member
Nov 29, 2018
5,684
2,000
Lema, unatafuta attention for nothing, umekatalia utumwani kwa kukwepa bank loan
Ukiwa ughaibuni huwezi kulipa bank loan? Denise linakufa tu kwakuwa muhusika yupo ughaibuni?
Anatafuta attention gan lema ambayo hana??
 

FK21

JF-Expert Member
May 27, 2019
2,488
2,000
Chadema wakati mwingine mtulie na kutafakari.Chakula kililetwa na nani?Sio kila mtu akileta chakula kitapokelewa kwa mtu mkubwa kama yule
Acha ushoga familia yake imeleta
 

mbandeon

JF-Expert Member
Aug 27, 2014
1,453
2,000
We hujui katiba ni mwiba kwa mama na ccm kwa ujumla???We hujui katiba mpya ina maanisha upinzani kuchukua Dola?we hujui harakati za mwamba za katiba ni mwiba mkali sana?we hujui???!!!
Kwanini iwe kipindi hiki ? mbona kupindi cha JPM hatukuona jitihada kama hizi kutoka kwa mbowe na washirika ...mimi sidhani kama katiba mpya ni threat ila kamanda wa anga kaleta zarau kwa mother na bimkubwa kaamua kudeal nae "ukizingua nakuzingua " ameamua kuishi kwa vitendo sio maneno matupu, kamanda wa anga itakuwa kamzingua.
 

Imeloa

JF-Expert Member
Jan 28, 2013
8,617
2,000
Lema, unatafuta attention for nothing, umekatalia utumwani kwa kukwepa bank loan
Wewe akili ndogo sana, kwa hiyo Lema kuwa Whistle Blower kwa unyama anaofanyiwa Mbowe wewe unaona ni vizuri au unaongea under the influence of the Cannabis Sativa?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom