In Edward Lowassa, I trust...

amekuhonga wewe ushaid unao? Kama ccm ikipita 2015 bac bora huyo kuliko type ya akina cta, kinene, na wengine wabovbov kama wa zamani ya sasa.
Kwa hiyo anachofanya sasa hivi unaona kama anatoa msaada?? Si angeanza zamani sasa
Mimi nimeshabikia CCM muda mrefu ila i think ni muda wa kuachia nchi kwa mpinzani tujaribu kitu tofauti tuone, kusipokua na competition kwenye nchi hii maendeleo hayatokuwepo. Tuko nyuma vibaya mno, kiuchumi, hata kifikra,
 
Hii inanikumbusha Lord of the rings, the dark Lord Sauron and the deception of Naguls, about the eye it watches everything.
In short we are doomed and i do not see any Frodo
 
Yepi ni maamuzi sahihi? Kumchagua Lowasa fisadi na mchapakazi AU kumchagua Mtu kama Pinda eti co Fisadi lakin mburula kwnye kusimamia maendeleo?
Worry not bretheren 2nawezapata mtu Clean and hardworking ikiwa 2takuwa makini.
 
unafikiri hawajui au hawakuona ndio hao wanataka kuwasha vigari vyao asubuhi waingie kwenye ofisi za umma waibe na wasiulizwe,Huyu atauliza
 
Almost 5 years since I wrote this and now Mzee Popcorn is kubalika...
 
wa kwangu ni

1 samwel sitta
2 january amakamba
3 fedrick sumaye
4 dk wilbrod slaa

wewe je???????????????????????????
 
nguli,

namnadi ninayemuamini, nyie mnadai eti mtumbwi wangu unavuja, ndo maana nasema, sihitaji mpagazi.

kinachofurahisha hapa ni jinsi anavonadiwa huyu mjamaa (fisadi). Kiukweli mi binafsi nafurahi sana sababu kwa kelele hizi ndio inasaidia kuamsha mihasira ya wanaccm wasiomtaka hata kumsikia akiongea. Maana tayari kundi moja la wana ccm liko vitani kuhakikisha lowasa(fisadi) hapewi nafasi.
Jamani tuombe uhai tu tufike hiyo siku ya kuchaguana nnaimani kubwa hiyo ndio itakuwa siku ya kumalizana wana ccm na kuizika ccm. Amini msiamini hivi ndivo itakavokuwa siku hiyo.
 



Siku zote system ni kubwa kuliko mtu!! hebu niambie, Lowassa ataweza kuinyamazisha na kuidiscipline system mbovu ya ccm ambayo imekomaa kiasi hikii?? Hili ndio swali gumu la Edward Lowassa!!
 
Lowassa is the coming president,the only solution iloyobaki
 
Mhe: Lowasa asipo teuliwa kugombea nafasi ya Raisi sinto piga kura!
 
Lowassa is the coming president,the only solution iloyobaki

MAWAZO YAKO SAWA LKN NDO HAITAWEZEKANA.. LABDA KWA UPANDE WA PILI... NAHISI KAMAAAA...ANAELEKEA HUKU 😛eace:
 
siku zote system ni kubwa kuliko mtu!! Hebu niambie, lowassa ataweza kuinyamazisha na kuidiscipline system mbovu ya ccm ambayo imekomaa kiasi hikii?? Hili ndio swali gumu la edward lowassa!!

unachekesha kweli weyeee.. Kwani hiyo sistiim ni kina naniii?? Kwa taarifa tu huyu nae ni mwana sistiim kwahiyo wala si tatizo kwake,
 
Ukweli nina imani sana na Edward Lowassa, Mwenyezi Mungu akitujalia Lowassa ataifikisha nchi yetu mahala ambapo tunafikiri ni ndoto kufika japokuwa kila mmoja wetu anatamani sana tufike. Mwenyezi Mungu akulinde na uwe na maisha marefu, tuibadili ndoto kuwa kwetu, naipenda nchi yangi.
 

NADHANI WENYE IMANI NA UYO FISADI PIA MWIZI NI WEWE ZAIDI NA UKOO WA MZAZI WAKO WA KIKE WALOOZOEA KUISHI KWA MSAADA WA PESA ALIZOWAIBIA WATANZANIA AKIWA MADARAKANI. NA YEYOTE ANAYEMSHABIKIA FISADI UYU AMELAANIWA YEYE NA UKOO WAKE WOTE. Alamsiki na nina signoff
 

Hii ni ile damu ya bleed uliyokunywa inakusumbuwa!!
 
i think this is personal view avoid personal attack because anampenda Lowassa kama yeye na anafikili no one than Lowasa let the man talk,,,kikubwa hajasema anafaa kwa lipi? na huyo Lowasa ni kiongozi hadi sasa na alikuwa pm wa jmt kipi kizuri alikifanya? weka vizuri hoja yako but you are right because is your feeling
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…