Lole Gwakisa
JF-Expert Member
- Nov 5, 2008
- 4,773
- 2,383
TK,
Kwa nini Lowassa asubiri mpaka 2015? kwa minajili gani? yani asubiri tuendelee kudorora kwa miaka mingine mitano? Iwe Lowassa, Mwandosya au Shibuda, kwa nini waendelee kusema tumpe Kikwete Mji upya?
Hvi, mnaonituhumu kuwa nimemegewa au ni msaliti, je mmesona na kuelewa ni sifa zipi nilizompa Lowassa mpaka nikasema anafaa kutuongoza?
Je hamjaona niliposema kuwa nilichosema kwenye Deconstructing Lowassa kinabakia?
Hapa nimemzungumzia Lowassa mchapa kazi na mfuatiliaji ambazo ni baadhi ya wasifu chanya kuhusu yeye.
Kama ningetaka kuongelea sifa hasi, ningefanya hivyo lakini nimelenga kwenye sifa chanya.
Lakini upofu wetu hauoni mbali wala kufikiri, tunaishia kuwa na mihasira mingi tuu na kudai hatufai. Je hafai kama mchapa kazi na mfuatiliaji?
TK,
Tuondoe mazoea na mizenge iliyomo CC na NEC, je majina haya manne yakifikishwa kwenye mkutanoo mkuu wa CCM kumteua/kumchagua mgombea wa CCM ni nani atashinda?
Majina haya ni Kikwete, Lowassa, Mwakyembe na Dr. Bilali!
to hell brother!
i will never support these rubbish.let's be realistic jamani.Na itafaa kama utakuwa na chembe ndogo tu ya uzawa,uzalendo ili uguswe na hali halisi ya kinachojiri huku.
achana na siasa za ajabu ajabu,UNATUCHANGAYA
Hapo jina moja ndio litapita nalo ni no 1. KIKWETE. Wengine kwa umuhimu (ranking): Dr. Bilal, Lowassa, Mwakyembe.
Geoff,
Wewe mtu mzima, inkuwaje tena ninakuchanganya? Je kwenye kisanduku ha kuchagua Kuku na Yai huwa unachanganyikiwa ili kujua kilianza kipi?
Nimewapeni challenge, mwenye mgombea naye amnadi, kila mtu kimya.
Kwa taarifa yenu, Lowassa ni wa pili ninamnadi. Nilianza na Mrema, mkadai ni mjinga moto kifuu, sasa huyu naye mnadai mwizi.
Je mgombea wa kwenu 2010 ni nani? ni Kikwete?
Nikupe taarifa mapema kabisa wangu wa 2020 si Mnyika au Makamba kama nilivyotamka miaka mitatu iliyopita, bali ni Shukuru Kawambwa kama atanisikiliza!
Mkuu kama uko karibu na Lowassa mtafadhalishe aendelee na biashara zake kama anavyofanya Mengi hadi kuwaalika Mabalozi Ofisini kwake!Hvi, mnaonituhumu kuwa nimemegewa au ni msaliti, je mmesona na kuelewa ni sifa zipi nilizompa Lowassa mpaka nikasema anafaa kutuongoza?
Je hamjaona niliposema kuwa nilichosema kwenye Deconstructing Lowassa kinabakia?
Hapa nimemzungumzia Lowassa mchapa kazi na mfuatiliaji ambazo ni baadhi ya wasifu chanya kuhusu yeye.
Kama ningetaka kuongelea sifa hasi, ningefanya hivyo lakini nimelenga kwenye sifa chanya.
Lakini upofu wetu hauoni mbali wala kufikiri, tunaishia kuwa na mihasira mingi tuu na kudai hatufai. Je hafai kama mchapa kazi na mfuatiliaji?
kabla sijaendelea mbele zaidi,
WEWE MGOMBEA WAKO NI EDDO?
Nnao wengi na ninawanadi mmoja mmoja, Nilianza na Mrema, sasa ni Eddo , kesho inaweza kuwa wewe!
Kwa nini jina la Kikwete litapita? nipe sababu 6 tuu!
Nnao wengi na ninawanadi mmoja mmoja, Nilianza na Mrema, sasa ni Eddo , kesho inaweza kuwa wewe!
Rev
Nilidhani hii ni srious discussion kumbe ni mzaha tu. Kama ni hivyo mimi nakomea hapo..
For 2020 nimeshawaambia si Mnyika wala January Makamba, naanza mpigia debe Shukuru Kawambwa na Zitto Kabwe!
Rev. kwanza hongeara sana kwa ku-'pathologise' our brains. Naamini si kila wakati mtu anapoanzisha maada ni lazima awe anaamini hicho kitu.
Kama mtu angekuwa anafanya research humu, swali la msingi la Rev ni kuwa yeye anampa karata EL, na wewe unaye wako mseme! MSEME!
What we have witness here is go there and here, watu kuruka vihunzi, na kukwepa kujibu, maana hawawaoni. N kwa hili anawashinda wengi
But to be honest Rev, you must have other names of the same qualifications.
Vipi kuhusu Magufuli? How do you compare him with EL?