jmushi1
Platinum Member
- Nov 2, 2007
- 24,990
- 22,522
- Thread starter
- #41
Kukamata pabaya anamaanisha JF,
Nia ya Mushi hapa ni kutaka JF iwe matatizoni INGAWA tayari wana JF makini wamemgundua na kumkemea vikali. Yeye amekuja hapa kuvuruga mada za JF kwa floodings na pia kuitisha kuwa watu waingie msituni ili kumwaga damu TZ.
Hii ni plant toka kwa mafisadi wasioitakia Tanzania na JF mema. Amekuja hapa ili kuleta uchochezi na baadaye hii JF ionekane ya watu wanaotaka kumwaga damu Tanzania.
Sisi hatutaki vita Tanzania na Mushi haongei kwa niaba ya JF. Usishangae maneno makali anayotumia.. Huyu ni mtu anayetaka kumwaga damu na wana JF inabidi wamkwepe kama ugonjwa hatari usio na tiba.
Badala ya kumwaga damu...MAFISADI WAKAMATWE NA WAZALENDO WAPEWE NAFASI.
Ni maoni tu.
Wewe unatetea watu ambao ni MAFISADI..Unafikiri watanzania hawaoni hilo?
Ulijaribu jana kule kwenye kamati ya madini.
Na mimi nasema ni heri uwaombe mods wakufungulie ile thread kwani naona sasa ishakuwa VURUGU NA kusabotage maoni na uchambuzi wangu!
Kujaribu kuniingiza matatizoni ili nifungiwe..Na wewe uendeleze propaganda za Killango!