Immanuel Mung'ong'o For BOT GOVERNOR.

sijasema kuwa huyo jamaa ni mkristu thats why umempa support nachosema kuna watu wanajitia wanamjua mungu sana kuliko wengine ila matendo dont match the belief.

sasa basi, nimewapa cv ya jamaa kwa vile najua he is educated, na kuhusu hizo requirements za GOV post i have no comment abt but jamani lazima tukubali kuna ranks fulani inabidi uwe umefika serikalini ili kupata certain positions... nae from my knowledge bado hajafika huko

kuhusu kupanda basi ni uamuzi wa mtu, kwani wangapi wana kazi nzuri na hela kibao wanatumia usafiri wa kawaida?? na hiyo haimfanyi mtu kuwa anaipenda nchi yake zaidi ya anayedrive, wajuaje labda anasave hela ya mafuta? maana bongo new york kama mafuta hayatoshi utaumbuka.... watu wana magari wanaendesha wk end tu

issue ingine wewe uko biased, kama ulivosema jamaa ni mentor wako una kila sababu ya kumfagilia.... na hata kama ana kitu kibaya huwezi kuona. kuna watu hata mie nawafagilia, say mzee wangu i believe he is the best candidate for any of these posts but he aint kwani si kila mtu anaweza kuwa kile roho yako inataka...

OK????
 
Mbona mtiririko wa mada unakuwa kulazimisha Phd ya Cambrige na kupinga uzoefu wa kufanya taasisi za kimataifa za fedha kwa kutaka huyu Mung'ong'o awe Gavana?
Yaani inakuwa kama mtu anajijibu mwenyewe kwenye hii thread?
Mimi huwa inaniboa sana kukosa ule mtiririko kwa kuwa anakuwa kama anaandika mtu yule yule

We kuwa bored na utake time!
Kuna thread ya zitto na zimbabwe we nenda katoe maoni huko!
Hapa ni maoni ya Mustakabali wa Taifa!
NDULU NI FISADI...Na wewe unataka aendelee kuwa BOT GOV?
Forces of evil mlishashindwa loong time!
Mung'ong'o ana uwezo wa kuingoza BOT!
Kama si yeye...Basi pia si NDULLU...Taja wako!
Ama kaombe ushauri kwa MKAPA...Atawatafutia mwingine kutoka IMF..Na kikwete atamteua makamu wake baada ya ujambazi mwingine!
HAKUNA TENA KUCHANGANYA MAJAMBAZI KWENYE TAASISI ZETU MUHIMU ZA KIFEDHA!
Rais kuwarudisha MAFISADI KWENYE UONGOZI NI UONEVU KWA WALE WENYE NIA NJEMA WALIOMO NDANI!
 
sijasema kuwa huyo jamaa ni mkristu thats why umempa support nachosema kuna watu wanajitia wanamjua mungu sana kuliko wengine ila matendo dont match the belief.

sasa basi, nimewapa cv ya jamaa kwa vile najua he is educated, na kuhusu hizo requirements za GOV post i have no comment abt but jamani lazima tukubali kuna ranks fulani inabidi uwe umefika serikalini ili kupata certain positions... nae from my knowledge bado hajafika huko

kuhusu kupanda basi ni uamuzi wa mtu, kwani wangapi wana kazi nzuri na hela kibao wanatumia usafiri wa kawaida?? na hiyo haimfanyi mtu kuwa anaipenda nchi yake zaidi ya anayedrive, wajuaje labda anasave hela ya mafuta? maana bongo new york kama mafuta hayatoshi utaumbuka.... watu wana magari wanaendesha wk end tu

issue ingine wewe uko biased, kama ulivosema jamaa ni mentor wako una kila sababu ya kumfagilia.... na hata kama ana kitu kibaya huwezi kuona. kuna watu hata mie nawafagilia, say mzee wangu i believe he is the best candidate for any of these posts but he aint kwani si kila mtu anaweza kuwa kile roho yako inataka...

OK????

Wanaoswali swala tano kila siku nao wasiaminiwe?
Haya...Mlimwuliza MKAPA ni vigezo gani alivyotumia kumteua BALLALI?
Na baada yaUJAMBAZI WAKE...Mlimwuliza Kikwete ni kwanini alirudisha makamu wake ambaye naye alihusika?
Mmeshamuuliza Kikwete ni kwanini alimweka Zitto na IDI SIMBA kwenye kamati ya madini licha ya kwamba Simba ni muhusika ama kiunganishi cha EPA NA ccm?
 
Wana JF...Kuna Bwana mmoja namfahamu ambaye hata aliwahi kunipiga tuition ya MATH kwasana tu!

Ni mtu safi na mcha Mungu.
Anafanya kazi BOT kitengo cha supervisions!

Huyu Bwana sina CV yake kwasasa lakini najua aligraduate Cambridge huko UK. Na pia alipiga kitabu hapo Mlimani.

Kutokana na sifa zake za kutokupenda makuu, ukarimu, upole na utu wema...Kweli sidhani kama atakuwa alishiriki kwenye scandal ya EPA!

Sijawahi kumwuliza kuhusu haya maswala licha ya kwamba najua yeye kama Supervisions(Kabla hata ya kwenda Cambridge)Alikuwa na insight za jinsi mambo yalivyokwenda!

Kwani kwa mujibu wa Taratibu za kifedha huko BOT...Kitengo cha Supervisions nacho kiliplay big part kwenye kashfa hiyo!

Kwa vile ninavyomfahamu huyu bwana ambaye hataki kabisa mambo machafu...Nina RECOMMEND kuwa sasa tuanze kuwapa nafasi wazalendo wa kweli kwenye usimamizi wa mali za Taifa!

Kama kuna mwenye CV ya huyu bwana aimwage hapa.
Kama hakuna basi nitajitahidi kuitafuta.

Wakati huu ambao Taifa letu liko njia panda...Ni muhimu tuanze kuwafikiria watu kama kina Mung'ong'o..Fanya kazi ya Mungu Mr Mung'ong'o na utalipwa fadhila!

Huu ndio mwanzo.

Tunajua pia kuna wale wenye kuanza kupendekeza majina ya viongozi.
Wana jf naomba tunze kufuatilia wakombozi.

Hivyo basi nadiriki kuanzia kwa kusema...Imanuel Mung'ong'o for BOT GOV.

Yaani hapa umeboa kuliko. Sasa kama yeye ni mtu safi na alikuwa anajua kinachoendelea alichukua hatua gani?? Mijitu inayokaa kimya ikijua kuna wizi ni mijizi tu
Mwambie hapa hatutoi ajira za U-governor
 
We kuwa bored na utake time!
Kuna thread ya zitto na zimbabwe we nenda katoe maoni huko!
Hapa ni maoni ya Mustakabali wa Taifa!
NDULU NI FISADI...Na wewe unataka aendelee kuwa BOT GOV?
Forces of evil mlishashindwa loong time!
Mung'ong'o ana uwezo wa kuingoza BOT!
Kama si yeye...Basi pia si NDULLU...Taja wako!
Ama kaombe ushauri kwa MKAPA...Atawatafutia mwingine kutoka IMF..Na kikwete atamteua makamu wake baada ya ujambazi mwingine!
HAKUNA TENA KUCHANGANYA MAJAMBAZI KWENYE TAASISI ZETU MUHIMU ZA KIFEDHA!
Rais kuwarudisha MAFISADI KWENYE UONGOZI NI UONEVU KWA WALE WENYE NIA NJEMA WALIOMO NDANI!

Kwani kuna tangazo la kazi ya Gavana hapo BOT?Aliyepo utatengua uteuzi wake?
na siyo kwamba nashabikia mafisadi waendelee kuwepo.
au unaamka tu kuandika unachofikiria?
Let me take ma time
 
Yaani hapa umeboa kuliko. Sasa kama yeye ni mtu safi na alikuwa anajua kinachoendelea alichukua hatua gani?? Mijitu inayokaa kimya ikijua kuna wizi ni mijizi tu
Mwambie hapa hatutoi ajira za U-governor

Hakuna anayejua kama alikaa kimya ama la!
kASHFA ZA BOT NJE NJE NA SASA TUSONGE MBELE ACHENI CHUKI ZENU!
 
Kama CAMBRIDGE SI KIGEZO..Then ni kipi hiko?
Cha kusirikiana na MAFISADI?
Taja...Nani?
Ndullu keshatoa ripoti ni kwa jinsi gani hao watoto wa vigogo wameruhusiwa kuimiliki BOT?
Ripoti za kuwa ni kivipi walipandishwa cheo ama kupewa kazi?
NDULU SI FISADI?
Vipi kuhusu Body Of Directors?
Vipi kuhusu Iddi Simba aliyeisadia ccm kuchota pesa za EPA kwa kuwatumi hao wewe unaowasapoti na ambao hawana vigezo vya CAMBRIDGE?
UNAIJUA CAMBRIDGE?
UNAMJUA MUNG'ONG'O?
Ama ni forces of EVIL?

Sina chochote against Mung'ong'o personally na wala sina chochote against Cambridge. Nimetoa maoni yangu kwa upole kabisa kuwa PhD Cambridge sio kigezo cha utendaji bora.

Naona wewe umeniwakia sasa na kutaka kuingiza mambo ya Ndulu, Iddi Simba na wengine. Umeanza ukali kwenye kitu ambacho hakikuhitaji ukali katika kujibu hoja yangu.

Kama hivi ndivyo unavyotaka mimi na wewe tujadiliane basi karibu tena kwenye debates za MWK. Inaonekana wewe huwezi kutumia lugha nzuri kuwajibu wenzako.

Sasa narudia tena kwa upole kuwa Cambridge sio kigezo cha utendaji mzuri wa kazi. Wakati ukitafakari hilo, jiulize kuwa huyo Mung'ong'o alikuwa wapi na akifanya nini wakati wizi wa BoT ukiendelea.

Mengine kuhusu lugha ya ukali uliyotumia dhidi yangu yatafuata muda si mrefu
 
Kwani kuna tangazo la kazi ya Gavana hapo BOT?Aliyepo utatengua uteuzi wake?
na siyo kwamba nashabikia mafisadi waendelee kuwepo.
au unaamka tu kuandika unachofikiria?
Let me take ma time

Take your time if hutaki kusikia majina ya WAZALENDO!
WE UNAFURAHI UKISIKIA KINA NDULLU,MGONJA,CHENGE NK!
Ama inawezekana unamfahamu huyo bwana!
Mi nasema hivi...HUYU ALIKUWA NA NAFASI YA KUFANYA UFISADI AKAGOMA!
ALIKUWA AKISOTA TUU!
HATA NYUMBA YAKE ALIKUWA AKIIJENGA TARATIBU KWA MSHAHARA WAKE!
Na nilkuwa nikimwona akipiga mahesabu ya kudunduliza ili walau anunue gari!
Hata cellphone yenyewe anaitumia kwa shughulli muhimu tu!
Si mfujaji!
Sina undugu naye!
Ila nilibahatika kupigwa tuition na yeye wakati akiwa MLIMANI!
Ni maoni yangu tu!
Sasa kama unaona hayafai...Then nenda kampigie Mama Killango debe!
 
Hakuna anayejua kama alikaa kimya ama la!
kASHFA ZA BOT NJE NJE NA SASA TUSONGE MBELE ACHENI CHUKI ZENU!

Kama hujui kama alikuwa kimya au la, kwa nini upendekeze mtu ambaye humjui? je uchukuliwe nawewe kuwa ni fisadi kwa kuleta jamvini watu ambao huna uhakika nao?
 
Sina chochote against Mung'ong'o personally na wala sina chochote against Cambridge. Nimetoa maoni yangu kwa upole kabisa kuwa PhD Cambridge sio kigezo cha utendaji bora.

Naona wewe umeniwakia sasa na kutaka kuingiza mambo ya Ndulu, Iddi Simba na wengine. Umeanza ukali kwenye kitu ambacho hakikuhitaji ukali katika kujibu hoja yangu.

Kama hivi ndivyo unavyotaka mimi na wewe tujadiliane basi karibu tena kwenye debates za MWK. Inaonekana wewe huwezi kutumia lugha nzuri kuwajibu wenzako.

Sasa narudia tena kwa upole kuwa Cambridge sio kigezo cha utendaji mzuri wa kazi. Wakati ukitafakari hilo, jiulize kuwa huyo Mung'ong'o alikuwa wapi na akifanya nini wakati wizi wa BoT ukiendelea.

Mengine kuhusu lugha ya ukali uliyotumia dhidi yangu yatafuata muda si mrefu

Hakuna lugha ya ukali yoyote niliyoitumia na usilete INTIMIDATION HAPA!

WE UNAJUA VIPI KAMA HUYU BWANA HAUPINGI UFISADI?

MBONA UNATAKA KUTUFANYA WAJINGA?

UNAFIKIRI HATUWAJUI MAFISADI?

UNANITISHA KWASABABU NAJUA NIMESHAWAKAMATA PABAYA!

Nauliza...Kwanini usapoti watu waliohusika kwenye KASHFA WAENDELEE KUTUMALIZA NA KUFUKIA USHAHIDI?

UNAFIKIRI HUYO NDULLU NA USOMI WAKE WATAWEZA KUFICHA USHAHIDI?
 
Wanaoswali swala tano kila siku nao wasiaminiwe?
Haya...Mlimwuliza MKAPA ni vigezo gani alivyotumia kumteua BALLALI?
Na baada yaUJAMBAZI WAKE...Mlimwuliza Kikwete ni kwanini alirudisha makamu wake ambaye naye alihusika?
Mmeshamuuliza Kikwete ni kwanini alimweka Zitto na IDI SIMBA kwenye kamati ya madini licha ya kwamba Simba ni muhusika ama kiunganishi cha EPA NA ccm?

ALAAA!!! we kumbe ndio maana ulifungiwa... now I get it
mie nilipokuwa najibu i thought is a discussion of grown ups. ila yaonekana unachotaka wewe ni kushinda mada tu.....

sijazungumza popote kuwa waislam hawafai au wakristu wanafaa... prove me wrong from my threads pls. hizo issue presidents wanachukua wapi watu wanaoeua u can ask them yourself kwani bado wapo alive...

halafu, be precise before u speak my dear... kama huelewi omba dictionary uelezwe kinaga ubaga. na kama ni lugha unayoielewa basi soma vizuri kile kilichoandikwa ndio u-comment sawa. B. Ndulu alikuwa deputy governor mwaka jana tu na kama kazi hakufanya na balali hand in hand kama unavyoshikilia bango.kama wamefanya kazi pamoja haizidi miezi mi3 pamoja as governor na deputy wake.. sasa hela za epa za miaka hiyo alizilia wapi huyu current GOV??? na huyo mwl wako yuko banking supervision or so u say alifanya nini mabank yalipocomplain kuhusu monye laundering??
na je hao watoto wa wakubwa unasema wamefikaje ngazi walizo nazo? ni ngazi zipi hizo? bado nasubiri hizo posts walizo nazo zimwagwe humu against qualifications tuone.
gday
 
Hakuna lugha ya ukali yoyote niliyoitumia na usilete INTIMIDATION HAPA!
WE UNAJUA VIPI KAMA HAUPINGI UFISADI?

MBONA UNATAKA KUTUFANYA WAJINGA?

UNAFIKIRI HATUWAJUI MAFISADI?

UNANITISHA KWASABABU NAJUA NIMESHAWAKAMATA PABAYA!

Nauliza...Kwanini usapoti watu waliohusika kwenye KASHFA WAENDELEE KUTUMALIZA NA KUFUKIA USHAHIDI?

UNAFIKIRI HUYO NDULLU NA USOMI WAKE WATAWEZA KUFICHA USHAHIDI?

Mushi,

Nilidhani kuwa ile debate kali ya jana iliisha jana kwa sababu ya weekend. Mwenzangu naona bado una jambo dhidi yangu. Sasa hiki ulichokifanya hapa nadhani ni sababu tosha kabisa ya kuwaonesha kina Kuhani, Hollo, Mama, YNIM na wengine walioshauri kuwa nijaribu kukuelewa kwa vile una nia nzuri na mimi kuona kuwa wewe umetangaza ugomvi dhidi yangu.

Katika hili nakukumbusha tena kwa upole kuwa nilichosema hakikuwa na haja ya confrotation yoyote kati yangu. Nilisema kuwa Cambridge sio kigezo cha utendaji bora. Ulichotakiwa kujibu ni kuweka hoja pingamizi kupinga hoja yangu.

Kwa vile sasa unapenda hardball, na inaonekana unapenda ugomvi, je unaweza kuwaeleza wana JF kuwa ni kwa nini unachochea watu kwenda msituni ili wamwage damu ya watanzania?
 
ALAAA!!! we kumbe ndio maana ulifungiwa... now I get it
mie nilipokuwa najibu i thought is a discussion of grown ups. ila yaonekana unachotaka wewe ni kushinda mada tu.....

........

Mwenzako yeye anapenda magomvi, jana aliwatishia mods hapa kuwa kama anachotaka kisipofanyika basi atasababisha thread ifungwe. Kama unakumbuka alifungiwa kwa kuitisha watu kwenda msituni kule Tanzania ili wamwage damu ya watanzania kwa vile tu Mushi hataki kusikilizwa.

Watu kama Mushi ni mafisadi wakubwa kabisa wasioitakia nchi yetu amani.
 
UNANITISHA KWASABABU NAJUA NIMESHAWAKAMATA PABAYA![/QUOTE]

Dogo acha kudesa kwa Field Marshall.Umemkamata nani pabaya wakati umetoa wazo tu.Wazo lako laweza kukubaliwa au kukataliwa kulingana na uzito wake pamoja na jinsi unavyolitetea;tehe tehe kwi kwi kwi!!!
 
Kama hujui kama alikuwa kimya au la, kwa nini upendekeze mtu ambaye humjui? je uchukuliwe nawewe kuwa ni fisadi kwa kuleta jamvini watu ambao huna uhakika nao?

Najua misha yake ni safi, msomi, asiyependa MAKUU!
Nina uhakika kuwa hakukubali mambo ya UFISADI..TENA KITENGO ALICHOFANYA KAZI WAKATI WA UFISADI NI KITENGO KILICHOAHUSIKA MOJA KWA MOJA KWENYE EPA!
Huyu bwana HAKUHUSIKA!

Ndullu,Ballali,Body of Directors,DDDD,DF NA wengineo wengi ni watuhumiwa ambao wanataka kusafishwa kwa style ambayo kina IDDI SIMBA WALIVYOSAFISHWA KWA KUCHANGANYWA NA Zitto, NA LOWASSA KWA KUAMBIWA YEYE NI SAFI NA HATA HAKUTAKIWA AJIUZULU!

Hii nchi ina wenyewe huh?

UCHUNGUZI WA WATOTO WA VIGOGO HUKO BOT NAO UWEKWE WAZI...Mapambano yanaendelea!
 
UNANITISHA KWASABABU NAJUA NIMESHAWAKAMATA PABAYA![/

Dogo acha kudesa kwa Field Marshall.Umemkamata nani pabaya wakati umetoa wazo tu.Wazo lako laweza kukubaliwa au kukataliwa kulingana na uzito wake pamoja na jinsi unavyolitetea;tehe tehe kwi kwi kwi!!!

Kukamata pabaya anamaanisha JF,

Nia ya Mushi hapa ni kutaka JF iwe matatizoni INGAWA tayari wana JF makini wamemgundua na kumkemea vikali. Yeye amekuja hapa kuvuruga mada za JF kwa floodings na pia kuitisha kuwa watu waingie msituni ili kumwaga damu TZ.

Hii ni plant toka kwa mafisadi wasioitakia Tanzania na JF mema. Amekuja hapa ili kuleta uchochezi na baadaye hii JF ionekane ya watu wanaotaka kumwaga damu Tanzania.

Sisi hatutaki vita Tanzania na Mushi haongei kwa niaba ya JF. Usishangae maneno makali anayotumia.. Huyu ni mtu anayetaka kumwaga damu na wana JF inabidi wamkwepe kama ugonjwa hatari usio na tiba.
 
UNANITISHA KWASABABU NAJUA NIMESHAWAKAMATA PABAYA![/QUOTE]

Dogo acha kudesa kwa Field Marshall.Umemkamata nani pabaya wakati umetoa wazo tu.Wazo lako laweza kukubaliwa au kukataliwa kulingana na uzito wake pamoja na jinsi unavyolitetea;tehe tehe kwi kwi kwi!!!

MAFISADI WAKAMATWE...WAZALENDO WAPEWE NAFASI.
 
MAFISADI WAKAMATWE...WAZALENDO WAPEWE NAFASI.

Hakuna mambo ya kuchochea vita Tanzania, kama hii ndio nia yako basi hutakiwi hapa JF na Tanzania. Watu kama wewe inabidi mshitakiwe kwenye mahakama za kimataifa kwa kuchochea vita ambazo zimedumaza bara letu la Afrika

Shame on you.
 
Back
Top Bottom