Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,539
- 11,442
Judgement anapenda watoto wa chuo huyo
Najua ndo mana nilikuambia ukiwa nae atatulia....ana stress za kuachwa na Husny....
Naomba uwe nae asizidi kupotea
Judgement anapenda watoto wa chuo huyo
Nipo hapa nawacheki mnavyoulizana ulizanapia nilitaka kujua km keshaondoka au bado
vipi weekend?
Nipo hapa nawacheki mnavyoulizana ulizana
Najua ndo mana nilikuambia ukiwa nae atatulia....ana stress za kuachwa na Husny....
Naomba uwe nae asizidi kupotea
Hahhhaha ndio b52Hahahaaa unatuchora tu loh
Ngoja aje...na akukataa kukubali tunamdiss sawa ehMmmmmmmmmmmmmmmh judgement confess
Ndio b52 yan hatumuachNgoja aje...na akukataa kukubali tunamdiss sawa eh
pia nilitaka kujua km keshaondoka au bado
vipi weekend?
mh,w-end chali wangu nipo chuo!
Judgement kinachotakiwa hapa ni wewe kusema wazi kuwa utaachana na tabia yako ya kupenda watoto wa chuo....
ukisema mambo yataisha chap