imiss uu!! hujanimiss?

baibe nasty!
Masharti, vigezo vyako vimezingatiwa!
Deligator Erickb52 keshaongea!
Cha kushangaza umenyuti !
Sitaki kuamini umeona upige kimya!
Nachokiamini soon utafunguka.
 
Last edited by a moderator:
baibe nasty!
Masharti, vigezo vyako vimezingatiwa!
Deligator Erickb52 keshaongea!
Cha kushangaza umenyuti !
Sitaki kuamini umeona upige kimya!
Nachokiamini soon utafunguka.
Nipo hapa natumai unamambo mazuri n naomba kukupa Majaribio so ngoja jion ntatoa wakala
 
Last edited by a moderator:
baibe nasty!
Masharti, vigezo vyako vimezingatiwa!
Deligator Erickb52 keshaongea!
Cha kushangaza umenyuti !
Sitaki kuamini umeona upige kimya!
Nachokiamini soon utafunguka.

Judgement kinachotakiwa hapa ni wewe kusema wazi kuwa utaachana na tabia yako ya kupenda watoto wa chuo....
ukisema mambo yataisha chap
 
Last edited by a moderator:
Judgement kinachotakiwa hapa ni wewe kusema wazi kuwa utaachana na tabia yako ya kupenda watoto wa chuo....
ukisema mambo yataisha chap

Poa haina maneno na iwe hivyo!
Unadhani nna maneno ?
Sina!
Nasubiria hayo majaribio toka kwa beibe nasty!
Coz mpaka milango hii nimekalia kuti kavu!
Wakati mikuti mibichi iko chekwaa!
 
Last edited by a moderator:
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom