imiss uu!! hujanimiss?

Mambo BADILI TABIA
Mzima wewe?
Mi niko safi....Nambie

52 mambo? Habari za mapoteo?
Tunashapishana sana! Coz
Jf karabati at work!
Sasa mtu wangu fatilia huu uzi juu kuna comments inakuhusu !
Pls hebu ishobokee! Kama si kuishupalia !
beibe nasty anahitaji sera zako!
Hata hivyo mi nitarudi midamida naenda kumwagilia maflawa yangu maji kwanza.
 
Last edited by a moderator:
aaaiîî mi lia! malidhia. choyo wewe. mith u. vp upo rock ct ama ndo ushatimua? Beibe.nasty
 
Last edited by a moderator:
Mpaka niwasiliane na ur agent b52

Mi mara ya mwisho kuna kitu nilikuambia BN nafikiri umeahau..
Anyway naomba nikuambie nitakuwa na faraja ntaona tunapata familia mpya na hata nikija kuwatembelea nitakuwa na raha sana
 
Mi mara ya mwisho kuna kitu nilikuambia BN nafikiri umeahau..
Anyway naomba nikuambie nitakuwa na faraja ntaona tunapata familia mpya na hata nikija kuwatembelea nitakuwa na raha sana

Judgement anapenda watoto wa chuo huyo
 
52 mambo? Habari za mapoteo?
Tunashapishana sana! Coz
Jf karabati at work!
Sasa mtu wangu fatilia huu uzi juu kuna comments inakuhusu !
Pls hebu ishobokee! Kama si kuishupalia !
beibe nasty anahitaji sera zako!
Hata hivyo mi nitarudi midamida naenda kumwagilia maflawa yangu maji kwanza.
Usijali Judgement
mambo yako sawa vuta subira kupewa taarifa rasmi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom