Tetesi: Imevuja Freeman Mbowe kuhamia CHAUMMA mwezi August

Ingekuwa mambo ni rahisi hivyo Tanzania ingekuwa kila mtu ashakuwa mbunge..

1.Ubunge viti maalumu ni matokeo ya Kura za urais na sio kupewa kama unavyosema
2.KUB lazima awe mbunge wa kuchaguliwa sio wa kuteuliwa
3.Hakuna wa kumzuia yeyote Tanzania kujiunga na chama chochote cha siasa, hakuzuiwa Edward Lowassa wala Fedrick Sumaye... Iweje leo muwe na uchungu na FAM...

Siasa ni game of numbers.... Mkishindwa kushawish ili kupata numbers mauvimu hayakwepeki ..

Aliewadanganya siasa za yeda yeda zitaipeleka CDM mbele ndio matokeo yake haya.
We naye huijui tz, siku hizi hakuna sheria wala katiba.
 
1752767111731.jpeg
 
Kila mmoja anapambania tumbo lake nchi hii hata huyo Lissu aliye jela ni wale wale tu....... uzalendo siyo jina rahisi kama linavyotumika Tz.......Jk anapambania kina Riz, ndiyo maana kila mkutano yupo,Mbowe the same,hata uongozi ungekuwa chadema ingekuwa the same.......mfano hai ni uchaguzi wao uliopita.....nchi hii hakuna msafi ila kuna afadhali, angalau na chafu kabisa
Unaonekana ni mtu uliyejikatiaga tamaa miaka mingi sana..

Si tu kujikatia tamaa, bali unajichukia wewe mwenyewe...

Badilika. Negativity itakuua...
 
Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.

CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.

Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.

1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.

2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani

3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.

4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.

5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.

6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.

Maoni Yangu.

Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.

Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.

CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
Dalali ana uroho sana huyu ni mugabe kabisa. Kama ni pesa si anazo tayari ? Akatafute mafwekeche kama alivyo ahidi
 
Hawawezi kufanya hivyo, hata watoto wa chekechea watajua siasa imekuwa sanaa
 
Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.

CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.

Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.

1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.

2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani

3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.

4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.

5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.

6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.

Maoni Yangu.

Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.

Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.

CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
SIONI BAYA LOLOTE,MAANA ILIJULIKANA WAZIWAZI KUWA LISSU ANGESHINDWA UENYEKITI ALIKUWA ANAKWENDA ACT-WAZALENDO,SIONI UBAYA KWA MBOWE ENDAPO ATAKWENDA POPOTE PALE,KATIKA KUGOMBEA JIMBO LA HAI,HAKUNA UBAYA SIASA SIYO VITA,LOWASA ALIHAMA BAADAE ALIRUDI NYUMBANI,LET HER BE FREE,UTASHI WAKE UPO WAPI KWA SASA?,CHADEMA HIYO MNAYOITUKUZA YEYE NDIYE MJENZI WAKE MKUU,NA MJENZI NI MJENZI TU,HASHINDWI KUANZA UPYA NA KUJENGA UPYA,NA MBOMOAJI NI MVUNJAJI TU, TULKHERI TUL BARAK,WASALAM
 
KWAHIYO LEO MBOWE AMEKUWA WAKUPIGIWA DEBE NA VIJANA WA CCM AMEKUWA LULU, LILE JINA LA GAIDI , MLEVI DJ ZERO MAKENGEZA SASA HIVI HAMUMWITI TENA
 
Hela ya kampeni tayari anayo alipewa ile 12b ya kumzuia Lissu asiwe mwenyeki kwa vile haikutumika sasa ndiyo imepata kazi.
 
Back
Top Bottom