Tetesi: Imevuja Freeman Mbowe kuhamia CHAUMMA mwezi August

Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.

CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.

Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.

1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.

2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani

3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.

4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.

5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.

6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.

Maoni Yangu.

Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.

Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.

CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
August mbali, mnamoa airtime za nini huyo zilipendwa
 
Ingekuwa mambo ni rahisi hivyo Tanzania ingekuwa kila mtu ashakuwa mbunge..

1.Ubunge viti maalumu ni matokeo ya Kura za urais na sio kupewa kama unavyosema
2.KUB lazima awe mbunge wa kuchaguliwa sio wa kuteuliwa
3.Hakuna wa kumzuia yeyote Tanzania kujiunga na chama chochote cha siasa, hakuzuiwa Edward Lowassa wala Fedrick Sumaye... Iweje leo muwe na uchungu na FAM...

Siasa ni game of numbers.... Mkishindwa kushawish ili kupata numbers mauvimu hayakwepeki ..

Aliewadanganya siasa za yeda yeda zitaipeleka CDM mbele ndio matokeo yake haya.
 
Mataulo yataanguka sana wakina mama/dada wakisaka viti maalum.
 
Viti maalum vinamsaidia kutumia watoto wake anaowapata katika harakati zake za kuchumia tumbo.
 
Bila serikali kutatua tatizo la Lissu na CDM haitafanikiwa.
Lissu na CDM wanajulikana kimataifa.
Hakuna ambavyo jumuia ya kimataifa itakubali.
 
Kila mmoja anapambania tumbo lake nchi hii hata huyo Lissu aliye jela ni wale wale tu....... uzalendo siyo jina rahisi kama linavyotumika Tz.......Jk anapambania kina Riz, ndiyo maana kila mkutano yupo,Mbowe the same,hata uongozi ungekuwa chadema ingekuwa the same.......mfano hai ni uchaguzi wao uliopita.....nchi hii hakuna msafi ila kuna afadhali, angalau na chafu kabisa
 
Bila kutatua issue ya Lissu na CDM haitatosha kuishawishi jumuia ya kimataifa wakubali kwa urahisi hivyo.
Issue ya Lissu na CDM inajulikana EU na kwingineko duniani.
 
Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.

CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.

Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.

1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.

2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani

3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.

4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.

5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.

6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.

Maoni Yangu.

Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.

Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.

CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
Ukisikia Tetesi mmm, 25% real
 
La kuongezea ndio mashahidi wanaofichwa na serikali, kesi ya jamhuri dhidi ya Tundu
 
Nimeamini thamani ya mtu siyo kuwa na pesa,bali unaitumikia vipi jamii yako iliyokukabidhi imani yao hasa katika nyakati ngumu
 
Tetesi hizi zilikuwepo toka kipindi cha nyuma, Sasa ni dhahiri Freeman Mbowe atahamia CHAUMMA mwezi August.

CCM walikuwa wanaumiza sana kichwa kumpata mgombea mwenye ushawishi atakaegombea na Samia, Ili kuizuga jamii ya kimataifa kuwa Kuna uchaguzi wa ushindani mwaka huu.

Mbowe amefikia makubaliano na CCM kama ifuatavyo.

1. Atajiunga na CHAUMA na ndo atakuwa mgombea urais.

2. Atapewa Hela ya kampeini ya kuzunguka na helicopter, pamoja na wasanii Ili kuvuta nyomi la watu, Ili jamii ya kimataifa ijue Kuna ushindani

3. Atapewa majimbo 10 ya ubunge na 25 ya viti maalumu.

4. Katika hayo majimbo kumi baadhi watakuwa Wana CCM ambao watakatwa, na kuhama chama Kama zuga lakini watashinda ubunge kupitia CHAUMA.

5. Mbowe atateuliwa kuwa mbunge na Samia, na kuwa KUB, kiongozi wa upinzani bungeni.

6. Mahakama iwafungie viongozi wote wa Chadema, mpaka ngazi ya kata Ili Wasimpige spana Mbowe, kupitia press conference.

Maoni Yangu.

Mbowe Hana ushawishi Tena, alishindwa vibaya sana na Mkunja Ngumi Tundu Lissu.

Mbowe kuwa kwenye ballot haitawafanya watu waende -kupiga kura.

CCM mnajidanganya saaaana, huwezi kutafuta legitimacy ya uchaguzi kupitia CHAUMA.
Ametumika Sana kujiunga na chauma kajidhalilisha sana
 
Back
Top Bottom