Imetimia mwisho wangu!

Imetimia mwisho wangu!

1790843047409.jpg
1790843044168.jpg
 
Tukimaliza tulichokuja kufanya duniani huwa tunakufa,inaweza kuwa hivyo kwako pia.Ingawa kujiua si kitu cha kawaida ila bado wewe si wa kwanza.
kitu kimoja cha uhakika wanaojiua wengi hupendelea kusema wanayopitia ama hufanya confession kitu ambacho hujafanya...hata hivyo kifo chema mzee.
 
Nimechoka na maisha ya mateso ya ulimwenguni.kila kitu kwangu kichungu kabis. leo lazima nijiue na nitatumia jiko ya mkaa na ninajua ikifika kesho itapatikana nimefia kwa nyumba na hakuna atakayejua nilijiua. Mazishi yangu R.I.P
DAY ONE IN JEHANAMU. Hongera kwa kumaliza mwendo, pia pole kwa safari ndefu na ninatumai leo itakuwa siku yako ya kwanza huko ya kukutana na kukumbushana maovu yenu mliyoyafanya huku kwetu, lala mfu milele.
 
Unajiita pm wewe mwenyewe

Cc The Icebreaker
Umenikumbusha jamaa mmoja aliyekuwa anaomba msaada wa pesa, ambapo aliijitumia pesa huku Kwa ID nyingine akisema, "huyo dogo ni genius, angalia hata nyuzi zake, sema tu maisha hayako fair".

Ile ID iliyopokea hela ikaonesha imetumiwa cha pesa na jina la aliyemtumia huku ikisema, "Asante sana broh, nimeona muamala wako....mungu akuweke...".

Wapumbavu nao wakaingia mtegoni, ilikuwa ni mwendo wa kushindana kutuma. Mimi nikiwa nawaangalia tu! 😎
 
Back
Top Bottom