Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 18,114
- 58,586
Ni ModNi nani huyo mkuu?
Nimewaza labda anakupenyezea za ndani kwamba ID hii ni ya fulani😆
Maana huwa hukosea kabisa kwenye hio category
Ni ModNi nani huyo mkuu?
Naomba uje Pm tafadhaliSion haja ya kuish
Hapana mkuu,halafu hiyo ID ndio kwanza naiona leo!Ni Mod
Nimewaza labda anakupenyezea za ndani kwamba ID hii ni ya fulani😆
Maana huwa hukosea kabisa kwenye hio category
Nimechoka na maisha ya mateso ya ulimwenguni.kila kitu kwangu kichungu kabis. leo lazima nijiue na nitatumia jiko ya mkaa na ninajua ikifika kesho itapatikana nimefia kwa nyumba na hakuna atakayejua nilijiua. Mazishi yangu R.I.P
Hapana mkuu,halafu hiyo ID ndio kwanza naiona leo!
Ni yeye mkuu mana ana uhusiano na nyuzi za kutoa mikeka. Hata ile ID iliyojiitaga totomol ya kwake 🤣Hapana mkuu,halafu hiyo ID ndio kwanza naiona leo!
Mara aseme JF haina maana,mara aseme wanawake wote wa JF hakuna pisi ya maana,mara aage JF ila yupo tu,
Kumbe ni masihara
Mkuu una maanisha huyo Red black ndio huyo mod?Ni yeye mkuu mana ana uhusiano na nyuzi za kutoa mikeka. Hata ile ID iliyojiitaga totomol ya kwake 🤣
Atakuwa na mental problemMara aseme JF haina maana,mara aseme wanawake wote wa JF hakuna pisi ya maana,mara aage JF ila yupo tu,
Leo tena kaja na issue ya kujiua!
You become what you think broNimechoka na maisha ya mateso ya ulimwenguni.kila kitu kwangu kichungu kabis. leo lazima nijiue na nitatumia jiko ya mkaa na ninajua ikifika kesho itapatikana nimefia kwa nyumba na hakuna atakayejua nilijiua. Mazishi yangu R.I.P
mkaa kiasi gani utatosha mkuu kumaliza safari?Nataka nife kifo kisichokuwa na mateso
Usijali.Sion haja ya kuish