Imetimia mwisho wangu!

Imetimia mwisho wangu!

Kuwa makini hii kitu itakudai hata kama unatania kama una tatizo kuwa muwazi mambo yanatatulika na kuzungumzika.
Hope utatubu baada ya hapo nakutakia maisha mazuri yenye wingi wa rehema za Mungu ndani yako na ukatangaze neno la Mungu aliye hai.

Hizi issue sio za kutania kabisa mkuu 2019 Mpauko ilikuwa hivi hivi watu wanadhihaki comments za kejeli kutafta likes , jamaa kweli akajinyonga.
Threads kama hizi kuliko kutoa kejeli bora upite tu.
Watu wanapitia mengi na maisha hayawezi kuwa sawa kwa kila mtu.
 
Nimechoka na maisha ya mateso ya ulimwenguni.

Kila kitu kwangu kichungu kabisa.

Leo lazima nijiue na nitatumia jiko ya mkaa na ninajua ikifika kesho itapatikana nimefia kwa nyumba na hakuna atakayejua nilijiua.

Mazishi yangu R.I.P
Ujumbe kama huu ukiwa katika nchi za ulaya utakamatwa na kesi yake mahakamani sio ndogo labda ikathibitike kwamba una tatizo la afya ya akili
 
Wenzetu wako serious na mbele ya muda, Bongo wengi wangekuwa ndani kisa upuuzi kama hizi
 
Hizi issue sio za kutania kabisa mkuu 2019 Mpauko ilikuwa hivi hivi watu wanadhihaki comments za kejeli kutafta likes , jamaa kweli akajinyonga.
Threads kama hizi kuliko kutoa kejeli bora upite tu.
Watu wanapitia mengi na maisha hayawezi kuwa sawa kwa kila mtu.
mbona mpauko last seen ni 2020 na nyie mnasema 2019
 
Mkuu pole kwa changamoto unazopitia nataka nikutoe wasiwasi kuwa hauko peke yako tafuta msaada au mtu wa karibu unayemuamini kwa ajili ya ushauri, amini kuwa changamoto unazopitia ni za muda tu, haikupasi wewe kujitoa uhai wako, kumbuka suicide is permanent solution to a temporary problem, maisha yako ni ya thamani sana tafadhali usijiue
 
Hizi issue sio za kutania kabisa mkuu 2019 Mpauko ilikuwa hivi hivi watu wanadhihaki comments za kejeli kutafta likes , jamaa kweli akajinyonga.
Threads kama hizi kuliko kutoa kejeli bora upite tu.
Watu wanapitia mengi na maisha hayawezi kuwa sawa kwa kila mtu.
Mtu akishaanza kujinenea kifo ulimwengu utamdai maana huu ulimwengu unasikia na kuona
 
Back
Top Bottom