Zamaulid
Platinum Member
- May 25, 2009
- 20,195
- 16,474
Kuna mtu alikufaga kiutani utani humu tukabali na mshangao!
Marehemu!Yule jamaa Mpauko?
Marehemu!Yule jamaa Mpauko?
duuui inasikitisha kwa kweli hapa duniani kunamengiAlizima kijumla baada ya kujificha kutokana na madeni ya mikopo.
Ndio yaleyale ya MPIGA DEBE.
Last seen Saturday 9:00Leta Update jomba kama UMEKUFA au vipi?
Kama unashindwa hata kutunza Siri zako basi na sisi hatutakuambia zetu,maana utazitangaza humu jfNimechoka na maisha ya mateso ya ulimwenguni.
Kila kitu kwangu kichungu kabisa.
Leo lazima nijiue na nitatumia jiko ya mkaa na ninajua ikifika kesho itapatikana nimefia kwa nyumba na hakuna atakayejua nilijiua.
Mazishi yangu R.I.P