OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,247
- 103,953
Pasco nitakuwekea dhamana watakapokutia ndani.upo sahahi
Angalizo walilotoa CCM ni kuwa Nchi haitolewi kwa vikaratasi. Kwa nini wanafuja fedha za umma kwa kufanya maigizo ya uchaguzi?Wanabodi,
Maadam tarehe ya uchaguzi wa marudio imeishatangazwa , na kama ni kweli Seif Shariff Hamad, alishinda, kuna ubaya gani kama CUF watashiriki tena uchaguzi huu wa marudio na kuwa makini sana na bao la mkono, hivyo Maalim Seif Shariff Hamad, si ni atashinda tena?!.
Source: Nimemsikia mwenyewe kwa masikio yangu!.
Pasco
Pasco, inaonekana ama hujui nini kimesababisha uchaguzi urudiwe ama unafanya makusudi. CUF wanajua kuwa uchaguzi ukirudiwa hawawezi kushinda. Bao la mkono walilofunga limekataliwa na mwamuzi na hivyo kuamuru mpira wa adhabu kuelekezwa kwenye lango la timu iliyopoga bao hilo la mkono.
CUF wanajua kuwa CCM itaelekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi huo na hivyo hakutakuwa na fursa tena ya bao jingine la mkono. Kinachogomba hapa si kwamba maalim seif alishinda ama la. Bali ni zile rafu walizocheza CUF mpaka wakajipatia ushindi rafu ambazo zilielezwa bayana na mwamuzi wa mchezo huo, Mzee Jecha
Mkuu,Wanabodi, leo kuna msomi mmoja Bw. Kidawi Limbu, amethibitisha pasi shaka kuwa uchaguzi wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, wa Chama cha Wananchi CUF ndie aliyeshinda uchaguzi wa rais wa Zanzibar, amewashangaa wasomi wana kigugumizi gani kuikemea CCM kutaka kulazimisha uchaguzi wa maudio ili waweze kupata ushindi wa bao la mkono!.
Msomi Kidawi Limbu amesema uthibitisho kuwa CUF ndio iliyoshinda, ni matokeo ya uchaguzi uliosimamiwa na NEC kule Zanzibar ambao uchaguzi haukuwa na dosari, katika uchaguzi huo, mgombea wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa, alimgaagaza vibaya mgombea wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli.
Kwa vile wapiga kura ni wale wale, na chama cha wananchi CUF, kilikuwa ni msharika katika UKAWA, haiwezekani wapiga kura wale wale, wamchague mgombea wa UKAWA kwenye urais wa Muungano na kumpiga chini mgombea wa CCM, halafu wapiga kura hao hao, wakaja kumpigia kura mgombea wa CCM, kwenye uchaguzi wa Zanzibar, hivyo amethibitisha pasi shaka kuwa uchaguzi wa Zanzibar, CUF ilishinda, Maalim Seif Shariff Hamad, ndie rais halali wa Zanzibar ila hajatangazwa!.
Matokeo Rasmi ya uchaguzi ya Urais wa Zanzibar ambayo yanaonyesha wazi kuwa CCM imeshindwa kwa kura nyingi sana kwa kiwango na uzoefu wa Zanzibar, hata kura za Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa upande wa Zanzibar zinaonyesha hivyo hivyo na kwa hiyo kuthibitisha kuwa CCM ilipoteza uchaguzi huo. Kwa muhtasari matokeo ya Urais wa Muungano kwa upande wa Zanzibar ni kama yafuatavyo:
MGOMBEA KURA HALALI ASILIMIA
DR. JOHN POMBE MAGUFULI 194,317 46.5%
EDWARD NGOYAYE LOWASSA 211,033 50.50%
IDADI YA KURA HALALI 417,882
Matokeo ya kura za Ubunge, Uwakilishi na Udiwani yote yanaonyesha CCM imeshindwa kwa idadi ya kura za walio wengi (popular votes). CCM imeweza kupata viti sawa na CUF katika uwakilishi na ubunge kwa sababu ya mbinu zilizotumika katika ukataji wa majimbo.
Maadam tarehe ya uchaguzi wa marudio imeishatangazwa , na kama ni kweli Seif Shariff Hamad, alishinda, kuna ubaya gani kama CUF watashiriki tena uchaguzi huu wa marudio na kuwa makini sana na bao la mkono, hivyo Maalim Seif Shariff Hamad, si ni atashinda tena?!.
Source: Nimemsikia mwenyewe kwa masikio yangu!.
Pasco
Rafu za kupigana ndondi wajumbe wa tume we kweli POPOMA kuwa ccm inatakiwa ujitoe akili kweli hata reasoning capacity hushuka. KWA TAARIFA YAKO TU NA WANA CCM WENZAKO NI HIVIPasco, inaonekana ama hujui nini kimesababisha uchaguzi urudiwe ama unafanya makusudi. CUF wanajua kuwa uchaguzi ukirudiwa hawawezi kushinda. Bao la mkono walilofunga limekataliwa na mwamuzi na hivyo kuamuru mpira wa adhabu kuelekezwa kwenye lango la timu iliyopoga bao hilo la mkono.
CUF wanajua kuwa CCM itaelekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi huo na hivyo hakutakuwa na fursa tena ya bao jingine la mkono. Kinachogomba hapa si kwamba maalim seif alishinda ama la. Bali ni zile rafu walizocheza CUF mpaka wakajipatia ushindi rafu ambazo zilielezwa bayana na mwamuzi wa mchezo huo, Mzee Jecha
Kwa hiyo rafu hizo kwa kuwa walifanya CUF uchaguzi ukafutwa lakini rafu walizofanya CCM huku bara ambazo ziliwekwa wazi na viongozi wa upinzani lakini mbona Lubuva hakufuta uchaguzi?Pasco, inaonekana ama hujui nini kimesababisha uchaguzi urudiwe ama unafanya makusudi. CUF wanajua kuwa uchaguzi ukirudiwa hawawezi kushinda. Bao la mkono walilofunga limekataliwa na mwamuzi na hivyo kuamuru mpira wa adhabu kuelekezwa kwenye lango la timu iliyopoga bao hilo la mkono.
CUF wanajua kuwa CCM itaelekeza nguvu zake zote kwenye uchaguzi huo na hivyo hakutakuwa na fursa tena ya bao jingine la mkono. Kinachogomba hapa si kwamba maalim seif alishinda ama la. Bali ni zile rafu walizocheza CUF mpaka wakajipatia ushindi rafu ambazo zilielezwa bayana na mwamuzi wa mchezo huo, Mzee Jecha
Mwanakijiji wewe hua nu mdini na hua huipendi CUF machafuko yakitokea urudi ukasuluhishe. Ushauvua utanzania haya ya huku hayakuhusu ongelea ya Donald Trupm ndo saiz yakoHuyo atakuwa msomi uchwara; wapiga kura wa uchaguzi wa Zanzibar na wa Muungano siyo "wale wale" katika mazingira yote na kwa namna zote. Wapo wanaopiga kura uchaguzi wa Muungano lakini hawapigi wa Zanzibar! Kama hili huyo msomi halielewi basi hitimisho lake linaanguka kwa kukosewa kwenye premise yake.
Sasa mkuu swali langu ni kwanini cuf au anyone hawajaenda mahakamani???Pasco lazima tuwe wakweli tu. CCM walishindwa ZNZ kwasababu nguvu kubwa iliekelezwa bara
Uchaguzi wa marudio CUF watashindwa tu, Nape aliposema kwa bao la mkono hakukosea
Vyombo vya dola vitatumika. Ikiwa Jecha peke yake alibebwa na kufuta matokeo akiwa hana mamlaka na serikali zote mbili zinajua hana mamlaka nini kitashindikana kwa Jecha kwenda kutangaza matokeo hata kama hakuna kura iliyopigwa?
Kinachotafutwa hapa ni kuhalalisha ushindi wa CCM lakini si uchaguzi
Maswali hayana majibu isipokuwa kauli moja tu 'tume imefuta'
Tuulize, kwa mamlaka gani tume imepewa kufuta matokeo ya Jumla
Matokeo yanayofutwa ni yapi ya Rais au Wabunge na Wawakilishi?
Je wapiga kura wa Rais wa JMT nao itakuwaje
Jamani tukubaliane ni uhuni tu wa kudhalilisha Taifa
Leo tutasimama wapi kuzungumzia demokrasia? Huko Burundi tusiende wala kwingineko
Tuondoe boriti kwenye macho yetu, ndipo tutafute vibanzi kwa wenzetu
CUF hawawezi kushinda, Nape Nnauye alisem a 'CCM itashinda hata kwa bao la mkono'
Mahakama ya Jaji Agostino Ramadhani?Sasa mkuu swali langu ni kwanini cuf au anyone hawajaenda mahakamani???
Ni msema kweli tu. Msema kweli ni mpenzi wa Mungu.Mkuu,
Huyo bwana Kidawi Limbu ni nani katika medani za kisiasa Zanzibar!?
unambiwa kura pemba zilikua zimezidi idadi walioandikishwa. nini implication yake? ni kwamba wapemba wamepiga kura zaidi ya mara moja au mamluki waliletwa. sasa hii ndio kura za lowassa kuzidi magufuli. sijaona nini unashangilia kama data yako ni kaulu ya huyo limbu.Wanabodi, leo kuna msomi mmoja Bw. Kidawi Limbu, amethibitisha pasi shaka kuwa uchaguzi wa Zanzibar, Maalim Seif Shariff Hamad, wa Chama cha Wananchi CUF ndie aliyeshinda uchaguzi wa rais wa Zanzibar, amewashangaa wasomi wana kigugumizi gani kuikemea CCM kutaka kulazimisha uchaguzi wa maudio ili waweze kupata ushindi wa bao la mkono!.
Msomi Kidawi Limbu amesema uthibitisho kuwa CUF ndio iliyoshinda, ni matokeo ya uchaguzi uliosimamiwa na NEC kule Zanzibar ambao uchaguzi haukuwa na dosari, katika uchaguzi huo, mgombea wa UKAWA, Edward Ngoyai Lowassa, alimgaagaza vibaya mgombea wa CCM, Dr. John Pombe Magufuli.
Kwa vile wapiga kura ni wale wale, na chama cha wananchi CUF, kilikuwa ni msharika katika UKAWA, haiwezekani wapiga kura wale wale, wamchague mgombea wa UKAWA kwenye urais wa Muungano na kumpiga chini mgombea wa CCM, halafu wapiga kura hao hao, wakaja kumpigia kura mgombea wa CCM, kwenye uchaguzi wa Zanzibar, hivyo amethibitisha pasi shaka kuwa uchaguzi wa Zanzibar, CUF ilishinda, Maalim Seif Shariff Hamad, ndie rais halali wa Zanzibar ila hajatangazwa!.
Matokeo Rasmi ya uchaguzi ya Urais wa Zanzibar ambayo yanaonyesha wazi kuwa CCM imeshindwa kwa kura nyingi sana kwa kiwango na uzoefu wa Zanzibar, hata kura za Urais wa Jamhuri ya Muungano kwa upande wa Zanzibar zinaonyesha hivyo hivyo na kwa hiyo kuthibitisha kuwa CCM ilipoteza uchaguzi huo. Kwa muhtasari matokeo ya Urais wa Muungano kwa upande wa Zanzibar ni kama yafuatavyo:
MGOMBEA KURA HALALI ASILIMIA
DR. JOHN POMBE MAGUFULI 194,317 46.5%
EDWARD NGOYAYE LOWASSA 211,033 50.50%
IDADI YA KURA HALALI 417,882
Matokeo ya kura za Ubunge, Uwakilishi na Udiwani yote yanaonyesha CCM imeshindwa kwa idadi ya kura za walio wengi (popular votes). CCM imeweza kupata viti sawa na CUF katika uwakilishi na ubunge kwa sababu ya mbinu zilizotumika katika ukataji wa majimbo.
Maadam tarehe ya uchaguzi wa marudio imeishatangazwa , na kama ni kweli Seif Shariff Hamad, alishinda, kuna ubaya gani kama CUF watashiriki tena uchaguzi huu wa marudio na kuwa makini sana na bao la mkono, hivyo Maalim Seif Shariff Hamad, si ni atashinda tena?!.
Source: Nimemsikia mwenyewe kwa masikio yangu!.
Pasco
Na ataa wananchi uchwara utawajua tuu.kwa kumuanganisha mleta habari na mtoa habari .watu kama wewe ni shiidaah.Waandishi uchwara utawajua tu, kichwa cha habari na habari yenyewe ni vitu viwili tofauti.
Una ushahidi Wa hilo !!?? Wacha kufanya Wa Tanzania ni wajinga .wewe unatetea ulicho ambiwa .lakini unakataa ushahidi ulioletewa !!!??unambiwa kura pemba zilikua zimezidi idadi walioandikishwa. nini implication yake? ni kwamba wapemba wamepiga kura zaidi ya mara moja au mamluki waliletwa. sasa hii ndio kura za lowassa kuzidi magufuli. sijaona nini unashangilia kama data yako ni kaulu ya huyo limbu.
Tuonyeshe ki,bo gani lililamika rafu?
Pili, kwanini matokeo yalisitishwa kutangazwa wakati wa kuhesabu na si kukusanya
Kumbuka, majimboni matokeo yalibandikwa. Nini kilipelekea tume isisitishe kabla ya kuanza kuhesabu?
Tatu, Kwanini Jecha alitangaza matokeo mwenyewe wenzake wakiendelea kuhesabu?