Harrison Justine
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,136
- 559
Mie hadi homa . Kichwa kinauma sana ndugu zangu. Kila kukicha ni uhuni tu huku kwetu. Kwa nini hatuwi wawazi kuhusu masuala ya demokrasia? Leo hii inasemekana kashinda Seif ila dosari ni kujitangaza kuwa kashinda, kesho ccm itakuja na kudai kurudiwa uchaguzi. Kikubwa ni kuwa mshindi si lazima ajulikane kwa sababu kura zinahesabiwa mara baada ya vituo kufungwa na matokeo kutolewa hapo hapo. Sasa ni ajabu gani mtu kujua matokeo yake na kudai kutangazwa kama anaona mawengewenge ya kuhujumiwa?