Imeniuma sana kulipia huduma sijatumia

Imeniuma sana kulipia huduma sijatumia

Nimekosa cha kuandika, japokuwa kuna makosa pande zote. Mbinu hiyo si salama hata ushirikiane na nani ili mradi tu unayemtuhumu akili yake iwe sawa
Hivi hujawahi kuona hata machinga anayeuza vyombo anazushiwa anadaiwa na wahuni?
Tena wanasema alikimbia na elfu kumi,,alipaswa arudishe change akatoweka nayo?
Na vijana wakamzunguka wakamchukulia kila kitu?
Mkuu mwenzio likimfika jambo,,mwingine ataongea kila aina ya sentence lakini likimfika yeye ndy atajuwa kumbe lisemwalo lipo..
 
Hivi bro mjadala wako wa mswaki unajuwa ulifika hadi INSTAGRAM
Sijuwi mkuu?nani kaupeleka huko?au ni wazee wa kucopy na paste?
Hebu nipe link ni acc ya nani mkuu
 
Kumla ni kujidhalilisha wewe mwenyewe, unaweza kurevenge pasipo kumuingilia kimwili, kumbuka anajiuza hivyo ukimla hutampunguzia kitu, heri umtafutie mtu akuwakilishe

Nilikuwaga nakuona mkaka flani mwenye akili kubwa ila kwa mwandiko wako siku hizi najigundua nilikupa heshima kubwa kuliko ulivyostahili
Sawa mkuu,,lakini kwani mwenye akili kubwa hagegedi?au haibiwi?au hapati matatizo ya kidunia?
Au sababu hao unaowadhania wana akili kubwa hawaweki matukio yao humu?
 
Hivi hujawahi kuona hata machinga anayeuza vyombo anazushiwa anadaiwa na wahuni?
Tena wanasema alikimbia na elfu kumi,,alipaswa arudishe change akatoweka nayo?
Na vijana wakamzunguka wakamchukulia kila kitu?
Mkuu mwenzio likimfika jambo,,mwingine ataongea kila aina ya sentence lakini likimfika yeye ndy atajuwa kumbe lisemwalo lipo..
Ungesema unampa hiyo pesa ili asikuharibie ratiba zako na kupoteza muda ningekuelewa.
Trust me, ulikuwa na nafasi kubwa ya kukomesha uhalifu wa mtindo huo na hata walazimike kubadili mbinu.
Nimesema awali, katika hili hata washirikiane na nani.
 
Sawa mkuu,,kama utaamua kuuza nyumba kwa kesi ya baiskeli..
Ila nimeamua kumaliza kwa style ya amani,,
naamni sipo peke yangu,,wapo waliowahi kupigwa kabla yangu..
Yule kama ingekuwa ni mwanamme mwenzangu,,jasho lingemtoka,,sababu ni mwanamke,, tayari kiuhalisia nilishashikwa pabaya,,na mashahidi wenzie wanasapoti..
 
Sawa mkuu,,lakini kwani mwenye akili kubwa hagegedi?au haibiwi?au hapati matatizo ya kidunia?
Au sababu hao unaowadhania wana akili kubwa hawaweki matukio yao humu?
Fanya utakavyo isiwe kesi

Kamgegede
 
Fanya utakavyo isiwe kesi

Kamgegede
Sasa mkuu,,,nitapataje haki yangu?
Yaani nikubali kupigwa?
Mbaya zaidi angeweza kuhatarisha hata ndoa yangu..
Sijuwi yule Mzee alipofika huko home kaongea nn?
 
Binafsi siamini kama ni story ya kweli, anway ni juu ya mleta mada
 
Pole sana hizo ni mbinu za wizi tu,

kuhusu ba mkwe atasema kila kitu Kama wewe ulivyokuja kumsema humu asivyo mstaarabu wakati wa kupiga mswaki,
Aisee Kumbe Ni huyu, niiliisoma ile mada yake nilicheka Sana ila sikumkariri.
I'll nahisi huyu jamaa anatunywesha chai tuu. Hakuna Cha baba mkwe kukoroma chooni Wala kushikwa ugoni na changudoa!

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Bado sijafika huko home,,, sijuwi nini kimezungumzwa na baba mkwe,,maana kavunja safari ili awahi kurudi nyumbani,,nitawapa marejesho mkuu,,
Kama kupo salama au yule Mzee kaongeza chumvi ya uvinza kwnye tukio langu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh, na kuanzia leo ataongeza sifa ktk upigaji wa mswaki, na uwe mpolee tyuuuh
 
Unapitaje bar kwa machangudoa
Ukiwa na ba mkwe wako???

Sku nyingine pita mbali na bar
 
Ama kweli dar pagumu now days yani watu mpk wanabambikiwa kesi ya kula mzigo hewa hatar faya
 
Back
Top Bottom