Imeniuma sana kulipia huduma sijatumia

Imeniuma sana kulipia huduma sijatumia

Swala la baba mkwe unamalizana nae tu kwamaana Kama ulilala nyumbani mkeo atakutetea tu!!
Bado ngumu sana kuamini ,,aisee!! Kuna wadada wanajuwa kuigiza..
Sasa sijuwi kakimbiwa kweli..au ni mbinu tu,,bado sijapata majibu
 
Kwani angekupeleka wapi kama ungekomaa?!
Sijajuwa mkuu,ila kilichonifanya nipate hofu ni ule wingi wa wanawake wenzie,,na wote wakisema ndy huyu,,
Nikaona kinachofata ni ugomvi,,sasa je utakuwa tayari kupigana na mwanamke? Tena hadharani,,mwisho wake ni polisi,,nikiwa kama mshtakiwa wa kujeruhi ,,kumdhalilisha mwanamke nk.
Kesi ingekuwa kubwa zaidi.
Polisi angesema kapoteza Simu,,
Nimemdhalilisha kingono,
Nimemjeruhi..
Nikaona isiwe taabu
 
Bado ngumu sana kuamini ,,aisee!! Kuna wadada wanajuwa kuigiza..
Sasa sijuwi kakimbiwa kweli..au ni mbinu tu,,bado sijapata majibu
Kama mke anakuamini frsh atakutetea Sana na wewe unatakiwa ujifanye kuchukia Sana Lile swala uwe stressed wa kudhalilika ili badala ya kukulaumu wajikute wanakutuliza[emoji23]
 
Ungekomaa tu ili akupeleke popote pale, na mkeo angeitwa ili atoe ushahidi ulipo lala,
Ila kama hukulala nyumbani hata kama amekufananisha na malipo uliyotoa ni sawa
Sikuwa na muda huo mkuu,,nimevutwa shati,,huku akilia nipe changu,,
Akipata sapota ya watu tena wengine wanaume wenzangu..
Ila nitamfumua kweli..ngoja nitengenezee vipengele
 
Asee unakumbukumbu, hujasahau issue ya mswaki[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ile isue ya mswaki sikuizungumzia tena pale kwangu mkuu,,
Nimeamua kuipuuzia..
Ila hapa nilipo bado sijarudi home,,sijuwi itakuwaje,,
 
Mkuu ni wewe ulileta uzi kuwa baba mkwe wako Hana ustaarabu akiwa anapiga mswaki?[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Yaani unatoa hela kizembe namna hiyo duh!!
Mkuu sio uzembe mkuu,,mazingira Yale ningepata mazito mwisho wa siku,,
Hakuna jambo baya kama kuwepo mashahidi,,
Na mbaya zaidi kulikuwa kunanukia kesi ya kujeruhi na kudhuru mwili
 
Hao matapeli biashara imekuwa ngum ssa wamebadilisha mbinu Ila na ww muoga sna unatoaje hela kizembe hvyo mngeenda police Hapo watu washaamin kwel ulimkimbia police huko mnaomba kibali Cha hospital mnaenda kufanya vipimo na kwamba atakae shinda kesi analipwa fidia huu ujinga wakat mwingne usiufanye Tena ushajijengea picha mbaya kwa baba mkwe Ila Kama ndo mume Wang ndo kafanyiwa hvyo alafu ukute huo ucku anaosema bidada nlikuwa nae hom ohooo hyo hela ingekuwa ya mwisho kudhulum Bora kuomba usaidiwe kuliko kumthalilisha mtu hv[emoji3525][emoji3525]
 
Aisee inabidi mkuu, na ukifika unalipiza kuanzia mkwanja wako uliopita na huo utakaompatia[emoji23]
Ili nimpate vzr,,namwambiya tusahau yote Yale,,ila mwenzio nime fall kweli,,
Plz..tuyajenge,,
Lazima nimfumuwe...nitatumia mbinu zote za kibaharia,,ikiwemo kukosea Tigo pesa,,lakini lazima nimle..
 
Pole sana hizo ni mbinu za wizi tu,

kuhusu ba mkwe atasema kila kitu Kama wewe ulivyokuja kumsema humu asivyo mstaarabu wakati wa kupiga mswaki,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee unajua kunivunja mbavu lol, afu ndo ukute angekua amesha msema ba mkwe na tabia yake ya kupiga mswaki,
wallah leo ndo angejua km kachumbali n mboga au kiungo cha wali lol
 
Back
Top Bottom