JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 2,118
- 4,880
Habari wakuu,
Leo nimepata aibu ya mwaka baharia,,baada ya mwanamke nisiyemfahamu kunifananisha na mwanaume aliyemgegeda usiku kucha na kumkimbia bila kumlipia.
Nipo maeneo fulani ,,nikitafakari baada ya vuta ni kuvute iliyotokea muda mchache uliopita.,,huyu msichana kanivurugia ratiba zng zote za leo.anasema jana usiku nimemlewesha ,,nikalala nae ,,usiku kucha halafu nikamkimbia bila kumlipa
Nimetoka zangu home,,tena nikiongozana na baba mkwe wangu,, ,,sasa ktk pitapita zetu nikielekea kituoni,,nikapita mahali fulani karibu na bar ambapo usiku wadada hufanya shughuli zao za kudanga
Ghafla nikavutwa shati na mmoja wa wale dada ambaye simjuwi,,,akilalamika nimelala nae guest na kumkimbia bila kumpa pesa tulizokubaliana,,Mimi nikashangaa sana
Huyo dada simfahamu na wala sijawahi kumuona ktk maisha yangu.,tena walikuwa wawili ,,mmoja akisema "ndy huyu huyu yule kaka uliyekuwanaye Jana,, hakuna cha bure ,,toa pesa..
Mimi nikabaki na mshangao,,hata baba mkwe pia akabaki anashangaa ,Mimi nimetokea nyumbani na wala sikuwahi kulala nje,,hata siku moja,,na sina mambo ya kushinda bar kuhangaika na wadada wa usiku.kwani nina mke wangu na family yangu,na wala sio mnywaji..lakini bado haikutosha kupata kueleweka na yule mwanamke..
Yule msichana akasema ananidai 25,000 niliyomuahidi kumpa,,,basi watu walijaa wengi na wengine wakisema wanaume wa mjini ndy zetu kukimbia bila kulipa wanawake..,
"Wewe jamaa mpe chake yaishe,,,' walisikika watu wakipayuka kwa nguvu..
Kama mmefanya makubaliano,,mpe chake..
Wengine walinisihi nitoe tu chochote yaishe bila kufikishana mbele,,,itakuwa ni matatizo zaidi kwangu
Kundi kubwa lililopo pale liliamini Mimi nimekimbia guest bila kulipa,,tena yule Dada akasema umenifanya kila sehemu,,umeniumiza sana na nimevumilia,,umevizia nimelala umekimbia,,nipe changu,,tena huku analia.,,kwa uchungu..
Utaniua leo nipe changu..Mimi sikuachii.
Kila nikijitetea kwamba huyo mwanaume sio Mimi,,bado sikueleweka,, ndy kwanza yule Dada ananijazia watu..
Duu...aisee!!!
Pale sikuwa na pesa cash ilibidi nifanye muamala wa kwenye simu ghafla nimlipe yule dada
Hapa ninapokwambiya yule mzee,,baba mkwe wangu, kaomba tuvunje safari karudi nyumbani,, sijuwi ataeleza nn huko kwa mke wngu..
Huyo Dada poa Simjuwi na wala sijawahi kukutana nae ktk maisha yangu,,ila nitamtafuta ili nimfumuwe kikweli kweli..imeniuma sana ,,kulipia huduma sijatumia,,na kunidhalilisha mbele ya mkwe wangu..
Sasa pengine ni kweli kakimbiwa au ni mbinu zake sijuwi..
Ila yamenikuta leo wakuu..
Kweli mjini pazito.
Hii ni chai