Kwanza ww ni mjinga sana pili wewe ni muongo na hii ni chai tu.sisi tumawajua madada poa ,kamwe hawezi kulala na ww bila kumlipa kwanza wako makini sana, na hii ni stori tu umeleta hapa ili ujiftesh your mind.Acha uongo mwanaume wa dar.Mimi mwanaume wa mkoani nakwaambia hata polisi tungefikisha cwezi kukubali ujinga wa kiwango Kama hiki.nimemaliza
Mimi ni kweli naweza kuwa mjinga kama usemavyo ,,ila Mimi uongo kwangu mwiko,
Labda nikueleze kuwa kwnza hakuna sehemu nimesema nimekutana na Dada poa,nimesema nimepita sehemu ambapo kuna bar,,madada huwa wanadanga,,
Labda kutokana na kuwa wewe ni mwanaume wa mkoani ? Kama ulivyojitambulisha inawezekana hukuelewa kwa ufasaha neno kudanga,,
Kudanga sio kujiuza bali ni kutafuta mwanaume,,
Pili sio kila mwanamke ukilala nae basi anataka pesa zake atie kwenye pochi,,
Wapo wanawake utalala nae asubuhi utampa pesa za nauli au soup kutegemea na mlivyoongea,,au hata bila kuzungumza nae ,,,na wengine hata kiasi cha pesa hakwambii,,ni wewe na huruma yako kwake.
lakini kukikucha asubuhi utampa chochote bila hata kukuomba,,
Huyu Dada Mimi sikujuwa makubaliano ya yeye na aliyekuwa nae usiku huo kabla ya kukutana na mm asubuhi..yeye alinivamia na kunishika shati,,kwamba nilimkimbia,,
Hivyo basi ,,bado narudia tena kwamba kama ww huamini .mm sikulazimishi mkuu,,
Wapo watu kama wewe wanahoji vitu ambavyo vipo,,na vinatokea ,lakini sababu yeye hajakutana na tukio kama hilo basi anajiaminisha na kuwaaminisha wengine kuwa jambo hilo halipo,,sasa kama halipo ww shikilia hivyo hivyo,,
Siku yako ipo,, utaleta marejesho.