Sawa mkuu,,dunia Ina mengi ,kama hujawahi kukutana nayo shukuru MUNGU ,Aisee Kumbe Ni huyu, niiliisoma ile mada yake nilicheka Sana ila sikumkariri.
I'll nahisi huyu jamaa anatunywesha chai tuu. Hakuna Cha baba mkwe kukoroma chooni Wala kushikwa ugoni na changudoa!
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
Duu!! Ha ha ha mkuu,,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleeeeh, na kuanzia leo ataongeza sifa ktk upigaji wa mswaki, na uwe mpolee tyuuuh
Poleeeeeeh San lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duu!! Ha ha ha mkuu,,
Sijagusia tena suala lile,,nimelikalia kimya,,
Sasa leo ingekuwaje kama ningelisema lile la mswaki na likamkwaza.
Samahani kwa kuku quote, sikuwahi kujua kama wewe Ni ke[emoji23]Poleeeeeeh San lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa mkuu,,,nitapataje haki yangu?
Yaani nikubali kupigwa?
Mbaya zaidi angeweza kuhatarisha hata ndoa yangu..
Sijuwi yule Mzee alipofika huko home kaongea nn?
Aisee Kumbe Ni huyu, niiliisoma ile mada yake nilicheka Sana ila sikumkariri.
I'll nahisi huyu jamaa anatunywesha chai tuu. Hakuna Cha baba mkwe kukoroma chooni Wala kushikwa ugoni na changudoa!
Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]nyie watu bhaanaMimi ningehakikisha leo baba mkwe ananijua vizuri kuwa nina uwezo wa kutembeza mitama ya maana kuliko ule wa Adam Mchomvu.
Dah njaa mbaya kweli aisee[emoji119][emoji119]Mkuu,,nilihofia kupata matatizo zaidi,,
Maana mwanamke siku zote anaonekana kaonewa..
Japokuwa nilikataa kwamba Simjuwi,, watu wanatetea kwamba huyu sio Chizi,
Mpe chake yaishe
Ni kwl mkuu njaa mbaya sana,,,,lakini sio kwa style ya kukamata watu barabarani,, na kusingizia kakukimbia guest,,Dah njaa mbaya kweli aisee[emoji119][emoji119]
Mkuu ni wewe ulileta uzi kuwa baba mkwe wako Hana ustaarabu akiwa anapiga mswaki?🤣🤣🤣🤣🤣
Yaani unatoa hela kizembe namna hiyo duh!!