Imeniuma sana kulipia huduma sijatumia

Imeniuma sana kulipia huduma sijatumia

Hao matapeli biashara imekuwa ngum ssa wamebadilisha mbinu Ila na ww muoga sna unatoaje hela kizembe hvyo mngeenda police Hapo watu washaamin kwel ulimkimbia police huko mnaomba kibali Cha hospital mnaenda kufanya vipimo na kwamba atakae shinda kesi analipwa fidia huu ujinga wakat mwingne usiufanye Tena ushajijengea picha mbaya kwa baba mkwe Ila Kama ndo mume Wang ndo kafanyiwa hvyo alafu ukute huo ucku anaosema bidada nlikuwa nae hom ohooo hyo hela ingekuwa ya mwisho kudhulum Bora kuomba usaidiwe kuliko kumthalilisha mtu hv[emoji3525][emoji3525]
Mkuu,,police hakuna jambo Dogo,,
Hayo yote ya vipimo,,mara kupata dhamana ,,kwa police yote yanataka pesa,, maana nitapelekwa kama mshitakiwa.
Nimeona nijiongeze tu mkuu,,kumaliza tatizo.
Wahenga Wanasema kwa shujaa kunakwenda kilio kwa mjinga kunakwenda kicheko,,
Bado roho inauma sn kuhusu pesa zangu..
Mimi nitamsomea kesi hii huyo mwanamke siku nikiwa nishamaliza jambo langu.,
Hyo pesa sitoiacha bure ....
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee unajua kunivunja mbavu lol, afu ndo ukute angekua amesha msema ba mkwe na tabia yake ya kupiga mswaki,
wallah leo ndo angejua km kachumbali n mboga au kiungo cha wali lol
Sijuwi ingekuwaje mkuu
 
Ila ungemtishia kdgo aisee
 
Wanadamu akili zetu ni fupi mno
 
Ili nimpate vzr,,namwambiya tusahau yote Yale,,ila mwenzio nime fall kweli,,
Plz..tuyajenge,,
Lazima nimfumuwe...nitatumia mbinu zote za kibaharia,,ikiwemo kukosea Tigo pesa,,lakini lazima nimle..
Kumla ni kujidhalilisha wewe mwenyewe, unaweza kurevenge pasipo kumuingilia kimwili, kumbuka anajiuza hivyo ukimla hutampunguzia kitu, heri umtafutie mtu akuwakilishe

Nilikuwaga nakuona mkaka flani mwenye akili kubwa ila kwa mwandiko wako siku hizi najigundua nilikupa heshima kubwa kuliko ulivyostahili
 
Ili nimpate vzr,,namwambiya tusahau yote Yale,,ila mwenzio nime fall kweli,,
Plz..tuyajenge,,
Lazima nimfumuwe...nitatumia mbinu zote za kibaharia,,ikiwemo kukosea Tigo pesa,,lakini lazima nimle..
Usisahau kutuletea mrejesho mkuu!![emoji23]
 
Nimekosa cha kuandika, japokuwa kuna makosa pande zote. Mbinu hiyo si salama hata ushirikiane na nani ili mradi tu unayemtuhumu akili yake iwe sawa
 
Yaan leo ungeeleza vizuri, hahahah
Bado sijafika huko home,,, sijuwi nini kimezungumzwa na baba mkwe,,maana kavunja safari ili awahi kurudi nyumbani,,nitawapa marejesho mkuu,,
Kama kupo salama au yule Mzee kaongeza chumvi ya uvinza kwnye tukio langu.
 
Ila ungemtishia kdgo aisee
Mkuu hakuna ugomvi mbaya kama kupigana na mwanamke,,
Mwisho wa siku wewe ndy mkosefu.hata Kama una sheria.
Nilipima gharama za ugomvi,,na malipo ,,nikaona bora yaishe tu..haina haja ya vurugu
 
Back
Top Bottom